Uchaguzi 2020 Rajab Abdul "Harmonize" kugombea ubunge Tandahimba

Naona unachochea kuni kwenye tanulu moto uwake zaidi.
Mkuu hilo li Mng'ato ni lijinga limemchokoza huyo dada mpaka maana ya uzi imeharibika,
Nmeona tangu mwanzo wa mazungumzo yao,

Alafu kisa chenyewe eti sababu huyo Rebecca kamsifia Hamonize kwa uamuzi wake wa kugombea ubunge!.

Sijawahi ona mwanmke mwenye wivu kama hiyo Mng'ato
 
Na atakuwa na mng'ato kweli, ww uliwahi kuona wapi wanawake wakapwndana kama interest zao haziendani mkuu,
 
Anafikiria ubunge ni kumkatia mauno yesu wao[emoji3]
 
Duh! eti "machozi yalinitoka"[emoji2][emoji2]

Alimuuliza ni nini ameona kwake hadi kumshauri kua mbunge?
Isije ikawa ni kwa sababu ya populality na ni influence kwa jamii tu ndio magu anataka.

Zaidi anapaswa kujitathmini uwezo wake binafsi wa kujenga hoja na kutoa mawazo yakinfu yatakayo leta maendeleo kwa jamii yake.
Asije kutuongezea utoplo bungeni!
Uongozi ni zaidi ya influence!

All the best Harmonize.
 
Kabla hujafa hujaumbika. Harmonize anaweza kuja kuwa Kiongozi Bora. Vipi Dj mbowe? Vipi Mr 2 proud sugu vipi Prof j wa mitulinga.
Tusidharau binadamu aliye hai. Anacho kitu alichopewa na Mungu.
Rais wa Madagascar alikuwa dj.
Anashangaza sana huyo muungwana. Kuna mabilionea hawakumaliza elimu ya vyuo vikuu na michango yao katika maisha ya kila siku ya watu ni mikubwa mno.
 
Nilikuelewa na nimekuelewa ila nilichokitoa kwako ni tatizo linapoanzia. Kama standards zipo chini bhasi tumekubali kupata viongozi wa standard hiyo.
Kwa Harmonize hatanikubali au nikatae ila vigezo vinamruhusu
 
Nchi za Kiafrika sheria mnatungiwa na Form 4 leaver inakuja kutafsiriwa na Mahakama huku mhudumu wa mortuary inabidi awe angalau form four plus certificate ya uhudumu wa mortuary.

Sometimes watunga sheria wengine ni la saba tu
Kwa sasa CCM inawategemea Bungeni darasa la saba Msukuma na kibajaji
 
Nilikuelewa na nimekuelewa ila nilichokitoa kwako ni tatizo linapoanzia. Kama standards zipo chini bhasi tumekubali kupata viongozi wa standard hiyo.
Kwa Harmonize hatanikubali au nikatae ila vigezo vinamruhusu
tunatakiwa tujitathmini kama taifa
 
Maajabu ya Tanzania mbunge ajue kusoma na kuandika ila dereva wa serikali lazima awe na cheti cha darasa la 12
 
Kabla hujafa hujaumbika. Harmonize anaweza kuja kuwa Kiongozi Bora. Vipi Dj mbowe? Vipi Mr 2 proud sugu vipi Prof j wa mitulinga.
Tusidharau binadamu aliye hai. Anacho kitu alichopewa na Mungu.
Rais wa Madagascar alikuwa dj.
Acha kumlinganisha Prof J na Mr 2 na vitu vya kijinga , utakuwa umewajua hao watu baada ya kuja mjini...
 
Kama Wabunge wenyewe wa CCM wanaongea pumba kila siku, kila mtu anaweza kuwa mbunge bora kuliko wote walioko bungeni leo [emoji23]
 
Wale wale kina Kibajaj na Jah people na Kasheku yaani mtu kutokea kwenye kuokota makopo na chupa chakavu leo hii anakuwa mtunga sheria!
 
Ni kupoteza rasilimali za taifa na mambo yenyewe kama ndiyo haya basi hakuna haja ya kuwa na bunge kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…