Ramadhan Special Thread


Wewe waache waislam na kufunga kwao angalia ustaarabu wako
 
Tuna mengi ya kuwaza mkuu haya mengine ni kuyaacha yapite
 
Siku hizi JF haipiti siku kutawekwa uzi kuhusu Uislam au Waislam kisha watokee vijana kuja kukashifu . . . . Utadhani kuna vijana waliopangwa kwa mkakati maalum...
 
Afya ya roho kwa hawa waislam au ninaowaona ni watakafifu kidogo sana mwez huu acha wafungue mtaani ni noma
 

Yawezekana mtunga tangazo hilo kuna mambo mengi amezingatia katika kupachika maudhui hayo katika tangazo husika.Atakuwa pengine amerejea historia ya mifungo kama hiyo kwa miongo kadhaa.Atakuwa ametalii maandalizi yanayofanywa kabla ya mfungo wenyewe.Atakuwa amezingatia hali ya watu kuanza ku-save pesa miezi michache kabla ya mfungo kuanza.Atakuwa ameona jinsi waumini husika wanavyonunua vyombo vipya kwa ajili ya chakula wakati wa mfungo.Amezingatia jinsi waumini husika wanavyonunua mazulia mapya kwa ajili ya kuketi wakati wa kufuturu na mambo kedekede.

Kwa maandalizi kama hayo niliyoyataja bila shaka mtu hawezi kukosa afya njema.
 
We jamaa wewe... Kwa point hizo kweli ni kwa afya njema.
 
Kama hujui uliza acha kukurupuka kutoa tafsiri yako! Ebo! Hiyo wala hawakosei ni kweli kufunga ni kupata afya njema kwa mujibu wa Quran na hata kisayansi, Quran yote ni maisha ya mwanaadamu na imejaa sayansi ndani.
 
Tangazo liko sahihi.Mtoa mada umeongeza na mengine. Yote ni sahihi
 
Kwa suala la afya kweli wanapata afya.. Usishangae watu wakanenepa kipindincha mfungo.. Maana si kwa misos.. Mm jana nilikaribishwa futari.. Ofcoz na mm jana nilifunga. Nnikapiga futari... Nikawa full nikajua siku imeisha.. Wakanambia hapana shekhe kina daku.. Yani kuna pilau jingine linapikwa.. Kwabkweli nilishindwa kula tena.. But wazoefu wa mtanange walihudhuria paper two..
 
Siku hizi JF haipiti siku kutawekwa uzi kuhusu Uislam au Waislam kisha watokee vijana kuja kukashifu . . . . Utadhani kuna vijana waliopangwa kwa mkakati maalum...
Ata nyuzi za wakristu zipo... Inawezekana concentration yako ipo kwenye nyuzibza kiislamu peke yake..na mtu kuuliza ni kutaka fahamu wala si kashfa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…