Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Mmmh vitu vingine sio vya ku-complicate mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kawaida unawakilisha kwenye nafasi yako.Mmmh vitu vingine sio vya ku-complicate mkuu
Kuna jingle(wimbo umekaa kama tangazo hivi) unatangazwa sana na kituo kimoja maarufu cha redio cha hapa jijini Dar es salaam....wenyewe wanajiita redio ya watu.. Lile tangazo kwa upande wangu nadhani linapotosha maudhui na dhumuni kubwa la mfungo wetu mtakatifu wa Ramadhan.. Tangazo linasema hivi kwa kifupi "........waislamu fungeni mpate afya njema...." kwa upande wangu dhumuni kubwa la mfungo sio kupata afya njema ya mwili, nadhani bora ingekua "kupata afya njema ya Roho".. Na kama kuna mwislamu anafunga ili kupata afya njema ya mwili atakua kakose japo hilo laweza kua ni lengo moja wapo lakini dhumuni kubwa ni Afya ya Roho, kwa kutenda mema, kusali sana na kuomba toba kwa Allah..
In short tangazo hilo lina boa na kubadili dhumuni kwa watu wanao lisikia hasa wale wa madhehebu mengine na waislamu kwa ujumla... Wadau mnasemaje..
Teh teh teh..usiwazeKama kawaida unawakilisha kwenye nafasi yako.
Namkubali 24/7 yuko onlineKama kawaida unawakilisha kwenye nafasi yako.
Kuna jingle(wimbo umekaa kama tangazo hivi) unatangazwa sana na kituo kimoja maarufu cha redio cha hapa jijini Dar es salaam....wenyewe wanajiita redio ya watu.. Lile tangazo kwa upande wangu nadhani linapotosha maudhui na dhumuni kubwa la mfungo wetu mtakatifu wa Ramadhan.. Tangazo linasema hivi kwa kifupi "........waislamu fungeni mpate afya njema...." kwa upande wangu dhumuni kubwa la mfungo sio kupata afya njema ya mwili, nadhani bora ingekua "kupata afya njema ya Roho".. Na kama kuna mwislamu anafunga ili kupata afya njema ya mwili atakua kakose japo hilo laweza kua ni lengo moja wapo lakini dhumuni kubwa ni Afya ya Roho, kwa kutenda mema, kusali sana na kuomba toba kwa Allah..
In short tangazo hilo lina boa na kubadili dhumuni kwa watu wanao lisikia hasa wale wa madhehebu mengine na waislamu kwa ujumla... Wadau mnasemaje..
We jamaa wewe... Kwa point hizo kweli ni kwa afya njema.Yawezekana mtunga tangazo hilo kuna mambo mengi amezingatia katika kupachika maudhui hayo katika tangazo husika.Atakuwa pengine amerejea historia ya mifungo kama hiyo kwa miongo kadhaa.Atakuwa ametalii maandalizi yanayofanywa kabla ya mfungo wenyewe.Atakuwa amezingatia hali ya watu kuanza ku-save pesa miezi michache kabla ya mfungo kuanza.Atakuwa ameona jinsi waumini husika wanavyonunua vyombo vipya kwa ajili ya chakula wakati wa mfungo.Amezingatia jinsi waumini husika wanavyonunua mazulia mapya kwa ajili ya kuketi wakati wa kufuturu na mambo kedekede.
Kwa maandalizi kama hayo niliyoyataja bila shaka mtu hawezi kukosa afya njema.
Swadakta maneno yako.You will know them by their virtues.
Huo ndiyo Uislam, hata wasio Waislam wayaone mema yetu.
Kwa suala la afya kweli wanapata afya.. Usishangae watu wakanenepa kipindincha mfungo.. Maana si kwa misos.. Mm jana nilikaribishwa futari.. Ofcoz na mm jana nilifunga. Nnikapiga futari... Nikawa full nikajua siku imeisha.. Wakanambia hapana shekhe kina daku.. Yani kuna pilau jingine linapikwa.. Kwabkweli nilishindwa kula tena.. But wazoefu wa mtanange walihudhuria paper two..Kuna jingle(wimbo umekaa kama tangazo hivi) unatangazwa sana na kituo kimoja maarufu cha redio cha hapa jijini Dar es salaam....wenyewe wanajiita redio ya watu.. Lile tangazo kwa upande wangu nadhani linapotosha maudhui na dhumuni kubwa la mfungo wetu mtakatifu wa Ramadhan.. Tangazo linasema hivi kwa kifupi "........waislamu fungeni mpate afya njema...." kwa upande wangu dhumuni kubwa la mfungo sio kupata afya njema ya mwili, nadhani bora ingekua "kupata afya njema ya Roho".. Na kama kuna mwislamu anafunga ili kupata afya njema ya mwili atakua kakose japo hilo laweza kua ni lengo moja wapo lakini dhumuni kubwa ni Afya ya Roho, kwa kutenda mema, kusali sana na kuomba toba kwa Allah..
In short tangazo hilo lina boa na kubadili dhumuni kwa watu wanao lisikia hasa wale wa madhehebu mengine na waislamu kwa ujumla... Wadau mnasemaje..
Ata nyuzi za wakristu zipo... Inawezekana concentration yako ipo kwenye nyuzibza kiislamu peke yake..na mtu kuuliza ni kutaka fahamu wala si kashfa..Siku hizi JF haipiti siku kutawekwa uzi kuhusu Uislam au Waislam kisha watokee vijana kuja kukashifu . . . . Utadhani kuna vijana waliopangwa kwa mkakati maalum...