Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
UJUMBE WA ASUBUHI
~~~~~~~~~~~~~
LEO KTK UJUMBE WA ASUBUHI:
Enyi VIJANA!
Simamisheni SWALA!
Simamisheni SWALA!
EBRAHIM ALAYHI SSALAM🙁Mola wetu Mlezi! Hakika mimi nimewaweka baadhi ya dhuriya zangu katika bonde lisilo kuwa na mimea, kwenye Nyumba yako Takatifu, ewe Mola wetu Mlezi, ili WASHIKE SWALA. Basi zijaalie nyoyo za watu zielekee kwao, na waruzuku matunda, ili wapata kushukuru)
Surat Ebrahim:37
ESSA ALAYHI SSALAM🙁Na amenijaalia ni mwenye kubarikiwa popote pale niwapo. Na AMENIUSIA SWALA na Zaka maadamu ni hai,)
Surat Maryam:31
MUSA ALAYHI SSALAM🙁Hakika Mimi ndiye Mwenyezi Mungu. Hapana mungu ila Mimi tu. Basi niabudu Mimi, na USIMAMISHE SWALA kwa ajili ya kunikumbuka Mimi)
Surat Taha:14
ZAKARIYA ALAYHI SSALAM; (Alipo kuwa KASIMAMA CHUMBANI AKISALI, Malaika kamnadia: Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria Yahya, ataye kuwa mwenye kusadikisha neno litokalo kwa Mwenyezi Mungu, na ni bwana na mt'awa na Nabii kwa watu wema)
Surat Al Imran :39
SHUAIB ALAYHI SSALAM🙁Makafiri Wakasema: Ewe Shua'ibu! NI SWALA ZAKO ndizo zinazo kuamrisha tuyaache waliyo kuwa wakiyaabudu baba zetu, au tuache kufanya tupendavyo katika mali zetu? Ama hakika wewe ni mstahamilivu kweli na mwongofu!)
Surat Hud:87
LUQMAN ALAYHI SSALAM🙁Ewe mwanangu! SIMAMISHA SWALA, na amrisha mema, na kataza maovu, na subiri kwa yanayo kupata. Hayo ni katika mambo ya kuazimiwa)
Surat Luqman:17.
MPAKA NDEGE PIA🙁Je! Huoni kwamba Mwenyezi Mungu vinamtakasa vilivyomo katika mbingu na ardhi, na ndege wakikunjua mbawa zao? KILA MMOJA AMESHA JUA SWALA YAKE na namna ya kumtakasa kwake. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyajua wayatendayo.)
Surat AnNur:41
YA RABBI!
TUNAKUOMBA UTUJA ALIYE SISI KITULIZO CHA MACHO YETU NDANI YA SWALA.
AMIN.