Babu wa Watu
Member
- Oct 31, 2021
- 72
- 165
Waalykm salaam warahmatullah wabarakatuh. [emoji120]Asalaam alykum ndugu zangu, nawatakia Funga njema
Waalykm salaam warahmatullah wabarakatuh. Shukraan. Jazzakallahu lkhayrAsalam Alykum warahmutulah wabarakat
Hii App ina Adhkari na Dua zilizothibiti...View attachment 2178997View attachment 2178998
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mtazamo wangu; swala bila matendo mema ni bure na kikapu cha swala ni matendo memaHadithi ndio hizo nimekupa, kazi kwako sasa kuzipitia kwa utulivu, "Tofauti yenu na wao ni SALAH"
pia Allah (s.w)ameweka wazi hukumu kua asiyeswali basi amemfutia amali zake zooote duniani na akhera vipi tena hao wanazuoni waseme funga inakubalika na wakati amali zimeshafutwa??? kwa hiyo asiyeswali hata awe mwema kiasi gani hana anachoandikiwa mpaka atubu na kuanza kusali,
"Hakuna m'bora kati yenu isipokua MCHA MUNGU" Qur'an.
Kila la kheir.
Asalam alaykum warahmatullah wabaratuh! ..
Wa,alaykum salaam warahmatullah wabarakatuh!Asalam Alykum warahmutulah wabarakat
Hii App ina Adhkari na Dua zilizothibiti...View attachment 2178997View attachment 2178998
Sent using Jamii Forums mobile app
Waaleykum Salaam Warahamtullah Wabarakatuh,Asalam alaykum warahmatullah wabaratuh! ..
Naomba ufafanuzi kidogo kwenye hili jedwali la ratiba ya Ramadan muda wa kufungua swaum na kula daku.
Imezoeleka waislam katika maeneo mengi hujiwekea muda wao wa kula daku, wengine saa 9 usiku , wengine saa 10 hadi 10:30! Mara chache sana kukuta muislamu anakuambia yeye kala daku saa 11:00.
Hivyo basi kwa mujibu wa jedwali hili, Mimi nikiwa hapa mkuyuni jijini Mwanza natakiwa leo ramadhan 7 niishie saa ngapi kula daku ? Pia muda wangu wa kufungulia swaumu ni saa ngapi?
Natanguliza shukrani
Mtazamo wako???Kwa mtazamo wangu; swala bila matendo mema ni bure na kikapu cha swala ni matendo mema
Ila swala na funga hivi vinaweza kuwa vinajitegemea ila vikifanyika kwa pamoja ni vizuri sana
Kutokana na mafundisho sahihi ya Mtume Muhammad(Upon him be paece and blessing of Allah )sunna ni mtu kuwahi kufuturu haraka muda unapoingia(jua kuzama) na daku kuchelewesha .Hata yeye mwenyewe Ktk hadithi sahihi imepokelewa muda alokuwa akijizuia (kula daku) mpk muda wa adhana ya alfajiri(ile alfajiri ya kweli adhana ya saa 11 kikwetu) ni wakati wa mtu kusoma aya 50 .Asalam alaykum warahmatullah wabaratuh! ..
Naomba ufafanuzi kidogo kwenye hili jedwali la ratiba ya Ramadan muda wa kufungua swaum na kula daku.
Imezoeleka waislam katika maeneo mengi hujiwekea muda wao wa kula daku, wengine saa 9 usiku , wengine saa 10 hadi 10:30! Mara chache sana kukuta muislamu anakuambia yeye kala daku saa 11:00.
Hivyo basi kwa mujibu wa jedwali hili, Mimi nikiwa hapa mkuyuni jijini Mwanza natakiwa leo ramadhan 7 niishie saa ngapi kula daku ? Pia muda wangu wa kufungulia swaumu ni saa ngapi?
Natanguliza shukrani
Jazakallah khairaKutokana na mafundisho sahihi ya Mtume Muhammad(Upon him be paece and blessing of Allah )sunna ni mtu kuwahi kufuturu haraka muda unapoingia(jua kuzama) na daku kuchelewesha .Hata yeye mwenyewe Ktk hadithi sahihi imepokelewa muda alokuwa akijizuia (kula daku) mpk muda wa adhana ya alfajiri(ile alfajiri ya kweli adhana ya saa 11 kikwetu) ni wakati wa mtu kusoma aya 50 .
Hivyo mtu kuchelesha kula daku (mfano kula mida ya saa 9 ,10 ,10:30 nk ikiwa muda wa kujizuia unaanza 11 :00) ndiyo inapendeza zaidi na unapata fadhila kubwa ya kufuata sunna ya Nabii na yeye mwenyewe amesisitiza sana jambo hilo na kusema tuwe tofauti na fungal za watu wa kitabu (Mayahudi na Manasara) kwani wao wanawahi kula daku na wanachelewa kufuturu .
Kutokana na swali lako kama muda wa mwisho kula daku umeandikwa mwisho saa 11 :15 mtu ana haki kuanza kula hata saa 11:00 ilimradi isifike mpk muda wa kupambazuka alfajiri ya kweli (11:15 ikiwa ratiba inasema hivyo) wengine wanapunguza km lisaa au nusu saa nyuma kuhofia kupiga mboli nyingi mchana au kuwa na muda wa kumdhukuru Allah na ibada nyingine baada ya daku .
Nb:Mtu akila daku sasa 2 ,3 nk haiwi daku bali ni chakula cha usiku sunna ya daku mtu acheleweshe at least alale kisha aamke ili apate fadhila za daku kwani kina heri na fadhila nyingi ndio maana Mtume Muhammad SwallaAllahu'aleyhi wa salaam)alisisitiza mtu hata kama hana cha kukila usiku aamke anywe hata vikombe vya maji ili kupata fadhila za daku
#AllahuA'lamu
Shukran ,, Allah akuzidishie elimu na iwe yenye manufaaWaaleykum Salaam Warahamtullah Wabarakatuh,
Nakujibu kwa Niaba ya Ukthy Angel Nylon,
Muda wako wewe kwa kua upo Mwanza basi utafungua swaumu saa kumi na mbili na dakika hamsini na saba (18:57) na daku yako utakula saa kumi na moja na dakika thelathini na tisa (5:39) mpaka muda wa Salah ya fajri ukifika itakua mwisho wako,
Wengi hula saa saba hadi saa tisa wengine wanataka wapate muda wa kufanya ibada za usiku, wengine hawawezi kula alfajir, wengine hawawezi kuamka alfajiri,
Mola wetu Mlezi mwingi wa Rehema anatuambia katika Qur'an,
(….Na kuleni na kunyweni mpaka ubainike kwenu weupe wa alfajiri katika weusi wa usiku. Kisha timizeni Swawm mpaka usiku…)) [Al-Baqarah: 187]
Na Allah anajua zaidi.
Kuna vitabu vya adhkari vimejaa nyiradi za uzushi i.e utajipinda kuvisoma mwisho wa siku ni vumbi tupu( hupati ujira) ...Wa,alaykum salaam warahmatullah wabarakatuh!
Dua zilizothibiti ndio zinakuwaje ikhiwa?
Asante sana, japo naamini Sala au Funga bila matendo mema havifiki kwa Mungu pia (hiyo ni nyongeza kama hujaiona kwenye hadith)Mtazamo wako???
Nani alikwambia kwenye Dini kuna Mitazamo binafsi??
Dini ya Uislam inaongozwa kwa Qur'an na Sunna basi hakuna Mitazamo binafsi,
Mtume wetu Muhammad (S.A.W) anasema,
(....Ahadi ambayo iko baina yetu na baina yao (makafiri) ni Swalaah, na mwenye kuiacha basi amekufuru.....) [Ahmad]
Unaijua hukumu ya mwenye kukufuru,
Sallah na Funga vinaenda Sambamba wala haviachani .
Na Allah anajua zaidi.