Ramadhani Brothers waibuka washindi shindano la America's Got Talent Fantasy League, wanyakua Tsh milioni 637

Ramadhani Brothers waibuka washindi shindano la America's Got Talent Fantasy League, wanyakua Tsh milioni 637

Hao Ramadhani brothers ukiwachunguza vizuri, unaweza kuta ni wachaga
 
Sisi kama wizara ya michezo na utamaduni tunatoa pongezi za dhati kwa serikali ya Awamu ya sita chini ya Dr Mama Mbeba maono SSH Kiongozi shupavu na mtetezi wa wanyonge kwa kuweka mazingira wezeshi kwa vijana wa kitanzania kama Ramadhani brothers kujishughulisha kwenye michezo nakujipatia kipato.

kwako Lucas mwashambwa
Samia anaingiaje hapa na wewe???
 
Hao vijana hata mwaka jana walistahili kushinda. Ila mwisho wa siku walishindwa kwa zengwe tu. All in all, binafsi nawapongeza sana.
 
Hao vijana hata mwaka jana walistahili kushinda. Ila mwisho wa siku walishindwa kwa zengwe tu. All in all, binafsi nawapongeza sana.
Ule Mchezo wa Sarakasi ni Mgumu sana, na ni Binadamu wa kwanza kuweza kuucheza.
Haikuwa namna ni lazima ingefika siku wangeshinda.
Ni mchezo wa Kipaji, kujituma na mazoezi magumu.
Pongezi kwao
 
Utasikia uMAMA mwingi, uCCM mwingi na uRAMADHAN mwingi kupitia hawa vijana waliojipata kwa juhud zao wenyewe.
 
Wametuheshimisha Sanaa, wamepeperusha bendera ya nchi vizuri! Pongezi sana kwao
 
Wakipigwa kodi inabaki kiasi gani
Watapata mikataba ya pesa ndefu Kwenye the land of opportunity.
Hawa ni dola millionaire’s kuanzia sasa., na ni haki yao utajiri na umaarufu wameupata kwa juhudi .
Kuanzia sasa utaona wanapiga interview Kwenye tv kubwa USA .
 
Back
Top Bottom