Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm oyeeRamadhani Brothers kutoka Tanxania wameibuka washindi kwenye shindano la America's Got Talent Fantansy League na kujinyakulia kitita cha dola 250,000.
Kwa ushindi wao wanaweka historia ya kuwa Waafrika wa kwanza kutoka Afrika kuwahi kushinda shindano hilo.
wanastahili hawa jamaa, wamenishawishi sana kutokuiogopa Dunia.Ramadhani Brothers kutoka Tanxania wameibuka washindi kwenye shindano la America's Got Talent Fantansy League na kujinyakulia kitita cha dola 250,000.
Kwa ushindi wao wanaweka historia ya kuwa Waafrika wa kwanza kutoka Afrika kuwahi kushinda shindano hilo.
Samia anaingiaje hapa na wewe???Sisi kama wizara ya michezo na utamaduni tunatoa pongezi za dhati kwa serikali ya Awamu ya sita chini ya Dr Mama Mbeba maono SSH Kiongozi shupavu na mtetezi wa wanyonge kwa kuweka mazingira wezeshi kwa vijana wa kitanzania kama Ramadhani brothers kujishughulisha kwenye michezo nakujipatia kipato.
kwako Lucas mwashambwa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hao Ramadhani brothers ukiwachunguza vizuri, unaweza kuta ni wachaga
Ule Mchezo wa Sarakasi ni Mgumu sana, na ni Binadamu wa kwanza kuweza kuucheza.Hao vijana hata mwaka jana walistahili kushinda. Ila mwisho wa siku walishindwa kwa zengwe tu. All in all, binafsi nawapongeza sana.
Popote penye chawa huwa ni mahali pachafu.naipongeza serikali ya mama na chama cha mapinduzi kwa ujumla huu ushindi ni wetu sote watanzania
Daaah! Sio mzima weweHongera zao, waendelee kujituma
Ila pamoja na yote hilo fungu la usd250000 Ni dogo san kwa watu wawil wakigawan hamn ktu
Mil 400+Wakipigwa kodi inabaki kiasi gani
Watapata mikataba ya pesa ndefu Kwenye the land of opportunity.Wakipigwa kodi inabaki kiasi gani
Mama sindio mzaa chemakwani mama alishiriki kwenye mashindano