Ramadhani na Kwaresma kugongana je is it a coincidence? The evidence says No!!!

Siyo kweli kuwa zinagongana kila mwaka fuatilia vizuri kuna miaka zinapishana mbali sana

 
Wakristo Ndo inatakiwa wausome ukristo na kila atakaejaribu kufanya hivyo hawezi kubaki mkristo.
 
Kufuata Mambo ya Dini ni Utoto. Wacha utoto mkuu.

Nilikuwa muislamu kuliko wewe.
Ulikuwa Muislamu bogas , mimi mwenyewe nilikuwa Muislamu bogas lakini Alhamdulillah nimefanikiwa kupunguza kiwango changu Cha ujinga At least nimejua vitu basic sana katika dini na misingi ambayo nikishikilia ni ngumu kupote In Shaa Allaah.

Kabla ya kuwa hivi nilishawahi kujiuliza maswali kibao kuhusu Mungu na uwepo wake , Kuna kipindi nipo darasa la sita nilikaa nikafikira hili swala deeply peke yangu mpaka nikahisi kuchanganyikiwa , nikijiuliza mambo kibao kama uwepo wa shida Duniani , maujai , dhiki nk na kuhusu Shetani nikawa siku zinavyoenda narudia rudia ...

Nikaja swala la dini nikaanza kujiuliza Nina uhakika gani kama nipo upande sahihi ? Je , vipi ikiwa Wakristo ninaowaona wamepoteza wapo katika haki ? Je, ningezaliwa katika familia isiyo ya Kiislamu ningekuwa Muislamu?

Nijajiunga Jf nikakuta controversial idea and thoughts nyingi kuhusu Mungu na dini hapo ndipo ikabidi nitenge muda wangu kuchunguza hili swala deeply kielimu na kiakili ndipo nikajiridhisha Uislamu ni dini ya haki kabisa pasipo na shaka yeyote.

Sikumaliza hapo ndani ya Uislamu nikakuta bado kuna makundi na itikadi nyingi sana na kila upande unadai wao wako sahihi zaidi nalo linichanganya sana , napo nikatenga muda wangu kusoma na kufuatilia karibia kote kwa haki mpaka nilipobainikiwa njia sahihi ni ipi katika Uislamu.

Mimi katika maisha yangu sijachangua niwe bogas lazima kila kitu kinachonihusu hata kidogo nakifuatilia deeply kujua uhalali na usahihi kielimu , sasa wewe huenda ulikuwa Muislamu ila Muislamu oya oya wa kupelekeshwa na kufuata mikumbo.
 
that is how islam is created by them, halafu kijana mbongo wa madongokuinama mchambawima, temeke mikoroshini choo paspoti saizi ugali dona bamia anashupaza shingo hawataki kuambiwa ukweli kuwa wanapumbazwa akili
Wakaweka na Aya Za kuwakata vichwa vyao sio?Kama Ni hivyo ndio maana Wakristo wote duniani hawatumii Akili.
 
Nasisitiza Uislamu unahitajia Elimu Waislamu wengi hatuna Elimu kuhusu mafundisho sahihi ya dini yetu ndio maana watu wanakuwa na itikadi na mambo mengi ambayo hayapo na kuyafanya kuwa uislamu au ambayo sio lazima kuyafanya ya lazima.

Suala la kukosa elimu limeacha athari mabaya sana , hata Mimi enzi za Ubogas nilikuwa naona Osama bin Laden anapambania uislamu ni shujaa , Al Shabab wanatetea dini kiasi ambacho hata ingetokea mtu kunipa connection huenda ningekuwa Somalia huku nikujua napigania dini , yote hayo ni kukosa mafundisho sahihi ya dini.

Tukirudi katika hoja yako hakuna Sheria ya Kiislamu inayoshurutisha mtu kuwa na jina la Kiarabu au kubadili jina lake bali tumeamrishwa tuwape watoto wetu majina yaliokuwa mazuri , na hata mavazi na chakula pia tumeambiwa tuchagua halali na vizuri. Hayo mengine ni watu binafsi wanavyopendela ila hawakushurutishwa katika dini na wanaoshurutisha tunarudi kwenye "Core problem" ambayo ni kukosa elimu ya mafundisho sahihi ya dini kwa ufahamu ulio sahihi.
 
Wakristo Ndo inatakiwa wausome ukristo na kila atakaejaribu kufanya hivyo hawezi kubaki mkristo.
Sio kusoma tu , hata anayejaribu kufikiri sawasawa haiwezi kubaki kuwa Mgalatia ndio maana wengi wao wanaongoza kuwa atheists hata humu jukwaani ukipiga hesabu Atheists wengi asili yao ni Ugalatia sababu haiendani na fitra ya mwanadamu pamoja na kadhia nyinginezo.
 

Swali una amini kuna Jehanamu?
 
Wewe taja ukristo wako 😅
 
Nakuunga mkono
 
Acha kuandika pumba.
Sababu kuu ya kugongana ni kuwa Kwarezma ipo mwezi uleule kila mwaka na kwa Ramadhani hali ni tofauti sababu ni hii

Katika uislam hakuna mwezi wenye siku 31 wala 28, mwezi katika uislam ni siku 29 na 30 tu mwisho, hivyo mwaka wa kiislam haufiki siku 365.

Kwahiyo mwaka wa kiislam ukiulinganisha na huu mwaka mwingine kila mwaka kuna siku zinapungua na baadae inasababisha miezi ya kiislam kurudi chini , mfano ramadhani ikiwa tarehe 1/3/2025 mwakani ujue itakua ni kwenye tarehe 25/2/26 au tofauti kidogo , hivyo miaka inavyodizidi kwenda kuna siku itakua Ramadhani inaangukia mwezi wa kwanza na Baadae itaangukia mwezi wa 12 na kuanza kushuka tena.
 
Mbona kama wewe ndio upo high mwenzako katoa hoja zake umeshindwa kujibu hoja unatoa maneno ya kejeli

Wewe mwenye akili nyingi tusaidie kujua inakuwaje Kwaresma na Ramadhani ziangukie mwezi mmoja?
Hamna hoja , watu wote mpaka kutoka kujiunga na dini kukua leo useme huyo jamaa wa kusini anajua siri zote .....Hizo stori zipo hata ukitaka kujua aliyeanzisha Ukristo utapata .

Soma uislamu pure ,hayo mengine hayapo labda kma ulimuona Mtume(PBUH) akiwa na tasbihi au kupiga maulid.

.Hakuna kitu kibaya kama kuwa na mtazamo, atheists na hao wakina LIKUD ni kundi jingine linalopingana na wengine ni sawa na dini nyingine 😅😅ni vile wajinga hawajielewi.

Kila siku wanalazimisha watu wa dini wakubali hoja zao ,wakati wamezitoa sehemu ambazo zilikuwepo kabla hawajazaliwa...

Hakuna mwenye hoja kama yumo niko tayari kujibu zote!​
 
Ni jambo la kutafakari sana kuona Aston Villa ikicheza robo fainali za UEFA wakati Man United haijawahi kushiriki hata kwenye hatua ya mtoano tangu kuondoka kwa Sir Alex Ferguson
 
Ninaujua Uislamu kuliko wewe. Nimetoka tu sio kwenye familia na ukoo wa kiislamu bali hadi kabila langu ni wote waislamu.

Anyways kwanini unafunga Ramadhani?
 
Nilijua lazima utapindisha kuelekea huko huko. Ila afrika imeshakuwa ya ngozi nguruwe tamaduni.
Dini hizi bana tukirudi huko nyuma 1300 mwaka huo waafrika tulikuwa na tamaduni zetu na tukiishi fresh sema Hawa wasnge wakatuletea tamaduni zao. Imagine Kila watu na taifa lao Wana tamaduni zao kasoro afrika.
Check Japan, India china, ulaya ,waarabu so waafrika tu ndio tumekula Malaya wa kufuata mifumo ya wanaume wengine.
Sie Kama tumeolewa tumekubali kubadili Maisha yetu na kuwafuata bwana zetu.
Hao watu wote nilikuambia Wana chakula mavazi lugha na elimu yao sie tu basi tumeolewa. Afrika inabidi ijikomboe kifikra.yaani hakuna ugonjwa mbaya Kama kukamatwa akili yako yaani ni zaidi ya kirusi .
Jiulizie hao jamaa wanakuibia na huku wanakuambia wizi ni mbaya
 
Hujasomeka
 
Fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…