Ramadhani na Kwaresma kugongana je is it a coincidence? The evidence says No!!!

Hadithi ni porojo za kubuni
Samahani Kwa Kusema Hili Najua Kama Wewe Ni Mwislamu Na Umefunga Unaamini Kuwa Funga Hulipa Mungu peke yake na Hakuna Kiumbe chochote Kinahusika nayo..

Ila Kwa Jibu lako Hilo Umeharibu Funga Yako na Umeshinda Njaa Tu 🤣🤣
Nimekuwa Muslimu kwa Muda Mrefu sana Na Tamko kama Hilo Linaweza Kumtoa Mtu katika Uislamu..

Turudi Kuhusu Hadithi Ni Porojo 🤣🤣
Sikukatalii Wala Sikukubalii Kuhsu hilo ila Since Unafata Imani ya Kiislamu Hadithi ni tool ya Pili baada ya Quran..
Na Hii Inakubaliwa na Maulamaa wa Pande zote Na Wanazuoni wa Shia hata Wa Sunni kwa madhehebu yote..

Kupitia Hadithi Ndo hupatikana Sunna na maagizo ya Mtume..
Kama Quran inavyotaka Kufanyika..

Qur'an 4:59
"Enyi mlioamini! Mtiini Mwenyezi Mungu, na mtiini Mtume na wale wenye mamlaka miongoni mwenu..."

Qur'an 4:80
"Anayemtii Mtume, basi kwa hakika amemtii Mwenyezi Mungu..."

Qur'an 59:7

"Na anachokupeni Mtume chukueni, na anachokukatazeni jiepusheni nacho..."

Qur'an 3:31

"Sema: Ikiwa mnapenda Mwenyezi Mungu, basi nifuateni mimi, Mwenyezi Mungu atakupendeni na atakusameheni dhambi zenu..."

Qur'an 7:157


"Wale wanaomfuata Mtume, Nabii asiyejua kusoma wala kuandika, ambaye wanamkuta ameandikwa kwao katika Taurati na Injili, anawaamrisha mema na anawakataza maovu, na anawahalalishia vilivyo vizuri na anawaharimishia vilivyo vibaya, na anawaondolea mizigo yao na minyororo iliyokuwa juu yao..."


Nawwza Nikaandika Aya Nyingi sana Ila Haisaidii kitu Ila kama Ni muislamu Amini katika Uislamu ukitaka kuwa Kama Mimi Kuwa kama Mimi ila Usichanganye mawili
 
mtoto wa madrasa muislam pro max bilble unaijulia wapi mpaka unatamba kuwa una majibu toka humo? We tumia quran, biblia hutaweza kuitumia, huna roho mtakatifu wa kukuwezesha kupambanua maandiko ya biblia
Amri Ya kwanza kwa mwislam ni 'SOMA'Na hatukuambiwa cha kusoma ili mradi ni Elimu basi tukaambiwa tusome kwa hiyo ukimuona mwislamu anasoma usimshangae na ndio maana hata ibada inaendeshwa na yoyote ili mradi awe amesoma kuhusu ibada husika hakunaga mambo ya kumsubiri padri ama mchungaji ukifa mambo ni yale yale Mwislamu sio mtu wa kutafuniwa na kumeza kila kitu bila kutumia mantiki.
 
once unakuwa mkristo automatically unakuwa na akili
Vice versa ni kweli!
Huwezi uwe na Akili alafu uamini eti Yesu ni Mungu (Sub'hana llah)

Yaani Mungu ndo Akatoke kwenye ile kitu inamesa mwenzake!
Akili ya binadamu inakataa hiyo nadharia ya kiumbe kuwa Mungu.
 
mbona huwa mnakumbwa na mob sychology bila ku urgue reason? Mnafuata mikumbo
 
Kwani kuna ulazima gani wa kuweka "peace be upon him"
 
Vice versa ni kweli!
Huwezi uwe na Akili alafu uamini eti Yesu ni Mungu (Sub'hana llah)

Yaani Mungu ndo Akatoke kwenye ile kitu inamesa mwenzake!
Akili ya binadamu inakataa hiyo nadharia ya kiumbe kuwa Mungu.
uungu wa YESU huwezi kuuelewa kwa kuwa we bado hujafunuliwa kujua mambo ya Mungu
 
Ila vijana wa kikiristo wanafikiria nje ya boksi!? 😁
 
Nikuulize! miaka yote ipi hiyo unayosema zinagongana...!? Mbona unadhihirisha tatizo lako la akili ambalo limefichikana😄
 
once unakuwa mkristo automatically unakuwa na akili
Hao wenye akili ndo wale wakitaka gari wanaombewa ila mchungaji akitaka gari anachangiwa?
Au ndo wale waumini wakiumwa wanaenda kanisani kuombewa alafu mchungaji wao akiumwa anaenda kwenye hospital za gharama kujitibu?
Au ndo wale wanao nunua udongo, chumvi kwa sh 100,000 ili watajirike bila kufanya kazi?
 
ulishafanya uchunguzi wanaoenda kuuziwa maji, udongo, chupi, vitambaa, mafuta, chumvi ni dini gani? Ni dini yako, halafu usilete vichekesho vya tik tok hapa, hakuna mkristo imara anayeombewa apate gari na atajirike. Hizo ni zenu kujazana kwa mitume na manabii ili mpatiwe miujiza
 
Hata wewe huna fikra mpya, maana hata ukatoliki au a Uluteri au aina yoyote ya dini ni kama chama cha siasa kuna wenyewe
 
mbona huwa mnakumbwa na mob sychology bila ku urgue reason? Mnafuata mikumbo
Kawaida pahala popote penye wengi kuna mengi na ndio maana ndani ya ukristo kunapatikana wengine wanaiona nuru na wanaifuata.
hujawai kusikia mtoto anauwa mzazi wake? Tena Mama yake.
kwa hiyo ndani ya jamii ya kiislamu wapo wengi tu wanakengeuka na tayari wameshabainishiwa adhabu ila bado kuna wazinifu,wezi,na kila aina ya wabaya ila tayari wajue Jehannam inawasubiri kama inavyowangoja wakosefu wasio waislamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…