yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Asante sana kiongoziKama store haipo, na kuna uwezekano wa kuongeza ukubwa wa jiko, ukiongeza ikafika angalau futi 10 kwa 10 ambayo ni sawa na mita 3 kwa 3 itakuwa vyema zaidi
Upande wa vyumba, kama itawezekana weka futi 11 kwa 11, ikishindikana kabisa weka futi 10 kwa 10. Ukiweka size ya futi 11 kwa 11, utaweza kuweka hata vitanda viwili vya futi 4 kwa 6 na kati kati ya vitanda pakabaki nafasi ya futi 3 kama njia, nafasi itakayobaki upande wa pili utaweza kuweka meza ndogo ya kusomea au hata kabati la nguo
Hapana ndg, hizi nyumba mifumo yake katika ujenzi ni tofautiBoma la nyumba ya paa lakusimana inaweza kugeuzwa paa lakuficha baada ya kujengwa
Kama majengo yameungana, hapo ukuta utakuwa ni mmoja tu ambao ni huo mrefu unaoenda mpaka juu, lakini kama majengo hayajaungana basi kila jengo litakuwa na ukuta wake (ilitakiwa picha ipigwe ubavuni ili kuona vizuri namna ilivyokaa)View attachment 3226860
Wakuu naomba ufahamu. Hii wing ya kulia gutter yake imebebwa na nini kwenye ukuta wa upande ulioungana na ghorofa (palipowekwa rangi)? Je, kuna kuta mbili upande huo, kuta iliyopiliza upper floor na kuta iliyopepa gutter?
c.c Hechy Essy
conductor
Hapa umeniongezea kitu kingine. Asante mtaalamuchini kutakuwa na ukuta mmoja lakini juu ukuta wa jengo la ghorofa ukawa umeingia kidogo ndani (kwenye slab) ili kupata nafasi ya kuweka gutter kwa jengo la chini
Majengo ya half-storey, paa la chini ambalo linaenda kuchora mstari wa mlalo (180°) katika kuta linatakiwa litengeneze angle zaidi ya 90 (Obtuse angle) na ukuta ambao paa linaenda kuangukia (angle ya nje)Hapa umeniongezea kitu kingine. Asante mtaalamu
fafanua zaid sijaelewaMinimum distance kwa ukuta ambao unasimama wenyewe ni sentimita 45 ambayo ni sawa na urefu wa tofali moja zima, kama distance ya mahali ambapo ukuta unatakiwa ujengwe ni chini ya 45cm (mfano 20cm, 30cm n.k) basi ni bora sehemu hiyo ukatumia nguzo ya zege badala ya tofali
Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
Hizi kuta mara nyingi huwa zinatenganisha dirisha moja na dirisha jingine au dirisha na mlango (mlango wa mbele). Huwa zinaanzia juu ya usawa wa chini wa dirishafafanua zaid sijaelewa
distance kutoka wapi kwenda wapi
Mwenyewe nilipata tabu sana kuelewa. Nimekuja kuelewa baadaefafanua zaid sijaelewa
distance kutoka wapi kwenda wapi