Hechy Essy
JF-Expert Member
- Mar 30, 2023
- 640
- 2,413
- Thread starter
-
- #81
Nimekupata, asante.Huu mfumo unahitaji umakini sana, mimi binafsi napembelea mfumo wa contemporary ambao mfereji wake unazungukia nje kama ilivyo pvc gutter. Upauaji unakuwa wa kawaida (angle ndogo) ila bati linakuwa halionekani na mzunguko wa bati wote unadondoshea maji kwenye huo mfereji (hakuna kuchimbia bati kwenye ukuta)
Ningewatumia picha ila sasa shida picha sio ya kwangu na mmiliki wa picha akiona nimetumia picha yake itakuwa shida
Karibu kwa ramani na makadirio mkuuNimekupata, asante.
fundi aje nimpe nauli mkuu! labda nimerogwa....Bei inaanzia 50,000 na kuendelea mkuu, inategemea na ukubwa / aina ya nyumba. Ukishakuwa na makadirio full, utaepukana na zile gharama za kumlipa fundi kuja site kupima pima mfano fundi tiles akija lazima atapima kwanza ili akupe hesabu ya vifaa (atakata umpe nauli) n.k
Karibu sana mkuufundi aje nimpe nauli mkuu! labda nimerogwa....
ila nimependa kazi yako nitakutafuta kwa ramani ya nyumba ya kupanga ya vyumba vilivyogawanyika kwa single na double self
Bila shaka ulikuwa unamaanisha apartment sivyo? Tuwasiliane mkuu, mimi nadesign nyumba ya aina yoyote kwa kufata maelekezo ya mteja (na kumshauri pia, mana kuna muda mteja anatoa maelekezo ambayo yanakinzana na aspects of designing)Boss vipi kuhusu apparent ya chumba kimoja master, on the side kina laundry room
Na kina sehemu multi purpose (jiko sitting place na dining place)
Tuko pamoja mkuu, karibuni kwa ramani na makadirioMkuu upo vizuri endelea kutupatia maushauri,hakika wewe sio mchoyo wa maarifa
Usijidanganye mkuu ule mpasuko huwa hauko uniform, niliwahi kufuata ushauri huu kutoka kwa fundi wangu nikajikuta narudi kunua tile zingine nzima ili nipate ladha halisi ya floor niliyotake na yale mavipande yapo mpaka leowakati huo huo pale hardware uliponunulia hizo tiles kuna box za tiles ambazo baadhi ya vipande vimekatika na muuzaji anauza kwa bei ya hasara hivyo kama ungechanganya box nzima na zile zilizokatika ungeokoa kiasi flani cha pesa
Malizia kusoma hiyo comment mpaka mwisho utaona kuna sentensi kwenye mabano. Inawezekana pia walikuchanganyia na rejected, tiles ninazosemea ni zile ambazo zinavunjika kwenye ncha kutokana ule upakiaji/ushushaji wa tilesUsijidanganye mkuu ule mpasuko huwa hauko uniform, niliwahi kufuata ushauri huu kutoka kwa fundi wangu nikajikuta narudi kunua tile zingine nzima ili nipate ladha halisi ya floor niliyotake na yale mavipande yapo mpaka leo
Point notedMalizia kusoma hiyo comment mpaka mwisho utaona kuna sentensi kwenye mabano. Inawezekana pia walikuchanganyia na rejected, tiles ninazosemea ni zile ambazo zinavunjika kwenye ncha kutokana ule upakiaji/ushushaji wa tiles
Nimeona nyumba nyingi ati wanaweka vioo kwenye vent sijui huwa wanajua kazi yakeRekebisha hizo vent za huko kwenye paa, hazina kazi yoyote zaidi ya kuozesha ceiling board
Kama mtu hapendelei kuweka roof vents, basi anatakiwa aweke vile vitofali vyenye matundu matundu au kuna vingine vinakuwa duara. Hapo utakuwa na kazi ya kupambana na mijusi kuingia kwenye hivyo vitunduNimeona nyumba nyingi ati wanaweka vioo kwenye vent sijui huwa wanajua kazi yake
Maeneo mengine wanaweka wooden louvers na wavu mgumu kwa ndaniKama mtu hapendelei kuweka roof vents, basi anatakiwa aweke vile vitofali vyenye matundu matundu au kuna vingine vinakuwa duara. Hapo utakuwa na kazi ya kupambana na mijusi kuingia kwenye hivyo vitundu
Mipasuko katika dari/mikanda ya gympsum kutokana na joto kali la hewa iliyopo kwenye dari baada ya kukosa sehemu ya kutokea njeHizo kazi yake ni kuruhusu mzunguko wa hewa ambapo kama usipoweka, lile joto la hewa iliyopo kati ya paa na dari kipindi jua linawaka inasababisha hewa kuwa na pressure ambayo inaenda kusukuma mikanda ya pembeni ya dari na gympsum board na kusababisha mipasuko ktk maungio