Ukichaa unawapata hata watu usio weza kudhani wana vimelea vyovyote vya ugonjwa huo. Naona maslahi yanapo guswa kila mtu uwehu unampanda kichwani.Ramani hii hapa:
View attachment 3102731
Binadamu anaangalia maslahi yake, ukiitwa kupambana hakikisha una mgao wako unaolingana na viungo utakavyopoteza au kifo. Tsh
Subiri kesho dada utuone wanaume.Akili zenyewe umeziweka kwennye ngono tu, sasa maandamano utayaweza? Au nyinnyi ndiyo kazi yenu kutiwa na akina Mboe baada ya maandamano??
Je unaanzia wapi MAANDAMANO? Jukwaa la Siasa kupitia Habari Mchanganyiko na kuishia InternationalNews? Au Jamii Intelligence?Ukichaa unawapata hata watu usio weza kudhani wana vimelea vyovyote vya ugonjwa huo. Naona maslahi yanapo guswa kila mtu uwehu unampanda kichwani.
Labda kwenye mattyako ya mzee wako.!!Hata wewe una papuchi ila iko matakoni
Kama ulayaRamani hii hapa:
View attachment 3102731
Binadamu anaangalia maslahi yake, ukiitwa kupambana hakikisha una mgao wako unaolingana na viungo utakavyopoteza au kifo. Tsh
Mbona maandamano shafanyika na kukamilika mkuu 'Stuxnet'! Au bado hukuyaona?Je unaanzia wapi MAANDAMANO? Jukwaa la Siasa kupitia Habari Mchanganyiko na kuishia InternationalNews? Au Jamii Intelligence?
Tahadhari hii imezingatiwaNiwaombe wadau wote wenye uzoefu wa gharama za kutibu majeraha yatokanayo na vurugu na vipigo mbalimbali.
1-Kupasuliwa fuvu.....200,000/=
2-Kuvunjwa taya na gongo la kipolisi....100,000(kianzio)
3-Kupasuliwa bandama....200,000/=
4-Kutovugwa ini,kongosho,figo....150,000 halafu dialysis 150,000 kwa wiki
5-Kuvunjwa senta bolt ya kiuno...25000 kianzio
6-Kutobolewa jicho moja....50,000 kianzio
7-Kung'olewa jino....5000
8-Kupasuliwa yai za kende....50,000
9-Kupasuliwa chembe ya moyo...
10-Kuvunjika shingo...
11-Kuteguliwa uti wa mgongo....
12-Kupasuliwa ngoma ya sikio kwa mbata...5000 ya file
13-Kupasuliwa taya na kitako cha bunduki...20,000
14-kutapishwa kisusio...5000
15-Kutoneshwa busha/mshipa...bure
16-Kugeuzwa kisahani cha goti...150,000
17-kutoneshwa /kupasuliwa tezi dume bure
18-Kutobolewa kibofu au puru(rectum) 200,000 kianzio
19-Kuzikwa na manispaa...bure
20-Vipimo vya Xray,CT scan,Ultra sound,MRI, 250,000.
N.B BEI NILIZOWEKA SIO HALISI
hebu tuongeze nyingine na kuweka gharama zake..
Basi sawa.Yale siyo maandamano bali kusanyiko la wasio na malengo wakimsindikiza Mbowe
Hakuna kilichofana kwenye maandamano kwa kuwa watu hawajawaunga mkono. Kwani ndugu unaandika tokea wapi? Minjingu au Nangurukulu?Basi sawa.
Mimi naona kama maandamano yamefana sana na mama toka sasa kwenda mbele anajuwa hana njia ya kuyarudisha nyuma tena.
Haya yamefikia yalipo ishia, tugange yajayo.
Hii nchi qmmke imelaaniwa sio bure, taswira nzuri watu kutekwa na kuuawa?? Tena na Polisi??Ndugu Mbowe, ambaye anahamasisha maandamano haya, ana watoto lakini hajawahi hata siku moja kuwaweka mbele kwenye harakati hizi.
Kwa nini nyinyi mufanye hivyo? Vijana, kumbukeni kuwa Tanzania yetu ni nchi moja tu, na hatuna nyingine. Maandamano haya hayatatufaidisha, bali yataharibu taswira nzuri ya nchi yetu.
Tuchukue jukumu la kuyapinga kwa nguvu zetu zote, na tuachane na wanasiasa wachache wanaotaka kutuweka bize na maandamano ili wafurahishe mabosi wao huko nje, kama vile Ujerumani, kwa malengo yao binafsi.
Sasa hili nalo unataka tupoteze muda humu kulijadili; kama watu wameunga mkono maandamano au hapana?Hakuna kilichofana kwenye maandamano kwa kuwa watu hawajawaunga mkono. Kwani ndugu unaandika tokea wapi? Minjingu au Nangurukulu?
Ule ulikuwa usanii tu. Polisi na Mbowe wanajuwa walichofanya. Yaani mtuhumiwa wa Polisi kweli apande kiti cha mbele cha Difenda??Sasa hili nalo unataka tupoteze muda humu kulijadili; kama watu wameunga mkono maandamano au hapana?
Mkuu 'Stuxnet', nakupa hadhi kuliko wengi humu kwa kujuwa unao ufahamu wa kutosha. Lakini unapokuja na kusema watu hawakuunga mkono maandamano, inanishangaza sana.
Kwako kuunga mkono ni lazima watu wakapambane na polisi siyo?
Kwa hiyo tuseme hapa kwamba kutojitokeza watu kuunga mkono maandamano maana yake ni watu hao kuunga mkono maovu yanayofanywa na uongozi dhidi ya watu hao hao? Hii ni akili ya wapi?
Unayo picha mkuu?Ule ulikuwa usanii tu. Polisi na Mbowe wanajuwa walichofanya. Yaani mtuhumiwa wa Polisi kweli apande kiti cha mbele cha Difenda??
Nini picha? Nakupa video clip kwenye hii link hapa.Unayo picha mkuu?
Ni wazi hukuelewa nilicho kua nikikufahamisha au hupendi tu kuelewa.Nini picha? Nakupa video clip kwenye hii link hapa.
View: https://x.com/CrownMediaTZ/status/1838127861653549170?t=4y_87VZCc634yqwKMZiNUg&s=19