Ramani ya Maandamano ya CDM; NI Njia ya mauti au Ulemavu M/kiti Kashawapa

Kufanikisha hilo, tuliandaliwa kutoka kuhoji. Swali fikirishi, kwanini wasiojulikana wamedumu kwa muda mrefu, kwakutumia akili ya kuvukia barabara inamaana hatuna intelejensia ya kuwatambua watu wasiojulikana
 
Kufanikisha hilo, tuliandaliwa kutoka kuhoji. Swali fikirishi kwanini wasiojulikana wamedumu kwa muda mrefu je ntelejensia haifanyi kazi kwa watu wasiojulikana?
Waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.

In a country where stupidity is considered patriotism it's unsafe to be intelligent.
 
Sahihi kabisa.
 
Ndo maana nasema kuna maslahi yamejificha. Unachokisema hapa haya maandamano ni ya kumtoa raisi madarakani si ndio?
Atolewe kwa kipi, yeye ni dhahiri yuko madarakani kwa wizi wa kura wa 2020, na kibaya zaidi hadi sasa anaendeleza tabia za mtangulizi wake za kuwaumiza wapinzami ili waogope apore uchaguzi vizuri.
 
Uzuri ruti hii tutatembelea humu humu JamiiForums, sidhani kama kuna kiroboto mwenye ujasiri wa kuingia barabarani kwenda kuharibiwa viungo vyake na Polisi.
😂😂😂
Mimi nitaenda kama wale wanaotuhamasisha watakuwa siti za mbele hapo Aaaaah waniue tu ila kama watakuwa siti za back bencher basi kila lakheri mkuu
 
Waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.

In a country where stupidity is considered patriotism it's unsafe to be intelligent.
Where stupidity is heartfelt. In Tanzania human herding in politics is well practice, human herding in politics is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering working towards group objectives and hypocrite, well defined as kujizima data, (kuahirisha kufikiri kizalendo)
 
Askari ukiwatazama saikolojia yao, silaha walizobeba hawaonyeshi kama wanaenda kujadiliana na waandamanaji warudi majumbani, wanaonyesha wanaenda vitani na adui ni mwandamanaji. Wao wana posho zao tayari pengine na mishahara iliwekwa na bonus.
Tutaandamana Wenye shida,we na mkeo mkae nyumbani mtiane mimba
 
Atolewe kwa kipi, yeye ni dhahiri yuko madarakani kwa wizi wa kura wa 2020, na kibaya zaidi hadi sasa anaendeleza tabia za mtangulizi wake za kuwaumiza wapinzami ili waogope apore uchaguzi vizuri.
OK, sasa hii samiamustgo hailengi kumuondoa?
 
Aondoke tu, kwani ana faida gani zaidi ya kuhonga raslimali za Tanganyika?
Kwahiyo kesho kila anayeingia barabarani ajue kwamba ameingia kumuondoa raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya Tanzania katika nafasi yake, hilo liwe wazi ili wajue wanachofanya.
 
Usiseme uongo

View: https://youtu.be/uB9A8PhE-4I?si=qLE_2Myp1aI8ggdf
 
Kwahiyo kesho kila anayeingia barabarani ajue kwamba ameingia kumuondoa raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya Tanzania katika nafasi yake, hilo liwe wazi ili wajue wanachofanya.
Hilo utajua ww.
 
Uzuri ruti hii tutatembelea humu humu JamiiForums, sidhani kama kuna kiroboto mwenye ujasiri wa kuingia barabarani kwenda kuharibiwa viungo vyake na Polisi.
Mi nimechagua kuandamana ile ruti ya Ilala, naanzia jukwaa hili la siasa, naenda jukwaa la historia kisha sports namalizia jukwaa la mapenzi baadae najipongeza na Grand Malt kwa kuandamana kupitia keyboard!!

Ugali samaki mtamu sana nani akalishwe jela ugali aina ya uji wenye mabuja wengine wanaita mabuda, yale madonge ya unga ndani ya ugali!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…