Ramani ya Maandamano ya CDM; NI Njia ya mauti au Ulemavu M/kiti Kashawapa

Ila we jamaa jinga sana ni bora hata ukae kimya kuficha upumbavu wako sasa nini umeandika hapa ?

Kwa hiyo kulindwa na drones ndio maslahi ya yeye kumiminiwa risasi ? Ulitaka mgombea asilindwe tena aliye nusurika na shambulizi la kutoa uhai wake ?
Mihemko ya nini? Hoja hapa ni uwepo wa maslahi sio uharamu au uhalali wa maslahi. Ulinzi gharama, anayemlinda aliingia hiyo gharama sababu kuna maslahi, sasa hapa hujapinga uwepo wa maslahi ila umeyapa uhalali.
Kwa hiyo kakubali kumininiwa risasi kisa michango ya kununua gari lake ? Ulitaka azurumiwe pesa zake asipewe kwa nini ?
Hapa naona unahalalisha maslahi ilihali mimi sijasema maslahi yake ni haramu, nimesema kuna maslahi.
Unazunguka tu. Unakubali maslahi yapo halafu unayahalalisha kuwa ni sahihi kuwepo, kwani hoja yangu ni uhalali wa maslahi au uwepo wa maslahi? Narudia Siasa ni Maslahi, ifahamu nafasi yako unapoingia katika vita vya kisiasa.
 
Wapi nimekubali ?

Andika hayo maslahi yaliyo fichwa hapa acha ngonjera za kijinga na utoto usio na maana.
 
Wapi nimekubali ?

Andika hayo maslahi yaliyo fichwa hapa acha ngonjera za kijinga na utoto usio na maana.
Unazunguka pale pale. Nimekujibu hayo maslahi ukaja na hoja za kuyahalalisha ilihali hakuna popote niliposema ni maslahi haramu.

Haya, nakupa jingine la wazi. Matibabu yake nje ya nchi. Pigwa wewe risasi kesho kwenye maandamano ukatibiwe nje bure kama matibabu nje ya nchi si maslahi.
 
Unazunguka pale pale. Nimekujibu hayo maslahi ukaja na hoja za kuyahalalisha ilihali hakuna popote niliposema ni maslahi haramu.

Haya, nakupa jingine. Matibabu yake nje ya nchi. Pigwa wewe risasi ukatibiwe nje kama hayo si maslahi.
Wapi nimehararisha.

Umeona uje na utetezi wa kutibiwa nje ili kuonesha ujinga wa maslahi ? Aaaahhii hii kichwa ina matatizo aiseeh

Mgonjwa kupelekwa nje ya nchi akili zako moja kwa moja zimeweka ni maslahi yanayo fichwa ?

Nashindwa hata nikuelewe vipi haya unayo andika
 
Mm nakwambia siasa ikiwemo hiyo anayofanya Tundulisu ni maslahi, wewe unapinga hakuna maslahi, sasa kama wote ni sawa na hakuna maslahi, pigwa risasi uone kama utakodiwa ndege binafsi uwahishwe nairobi.

Boss: Hakuna sehemu nimesema Tundulisu anapokea maslahi haramu au halali, nimesema siasa ni maslahi, na unapoingia kwenye vita vya kisiasa elewa nafasi yako, usifanye blindly.

Sasa unachokataa ni nini hapo?
 
Kwanini wahusika hawataki kutekeleza masharti ya wanaotaka kuandamana ili wasitishe? Mbona Bon Yai wamemkamata na hakuna anayetaka kuandamana ila wale wengine wanakataa hawapo nao. Sasa wapo wapi? Na hawa Polisi wote ninaowaona mitaani Dar wasiende kuwatafuta?
 
Kuna nchi ushaona kuna utumwa wa mijeledi karne hii? Binadamu yake maslahi, ukoloni ulikuwa na maslahi yakafika mwisho na uhuru umekuja na maslahi yake. Tusidanganyane, hakuna kitu kinapiganiwa hapo bila maslahi.
Mbona unazungumzia maslahi ya upande mmoja? Kwamba akina Mbowe ndio wanapigania maslahi yao, Vipi ninyi mnaotisha watu humu mnalinda maslahi ya nani? Vipi viongozi waCCM wanaozuia maandamano wanalinda maslahi ya nani?

This very lame of you people, ambieni watu kwanini wasiandamane sio kuwa-manipulate ati watatumika kulinda maslahi ya Mbowe. Wakati wewe mwenyewe unatumika kulinda maslahi ya wakubwa kwa ujira-mbuzi. Maslahi ni maslahi, Kama mmeamua kuiweka hivyo si ndio mruhusu kila mtu atumike kwa maslahi ya mtumiaji? Kutumika mtumike nyie tu, tukitumika sisi aanha!

Kumbe mtu akienda kuandamana automatically anaenda kuvunjwa miguu? Na mbona mmehaha sana hili suala? Mnatufanya tujiulize maswali mengi sana, au tukubaliane kuwa ni kweli “meli” i karibu kuzama!!!
 
Mbona unazungumzia maslahi ya upande mmoja? Kwamba akina Mbowe ndio wanapigania maslahi yao, Vipi ninyi mnaotisha watu humu mnalinda maslahi ya nani? Vipi viongozi waCCM wanaozuia maandamano wanalinda maslahi ya nani?
Yaani unauliza anayezuia maandamano yanayohatarisha uungwaji mkono wake akiyazuia anazuia kwa maslahi ya nani? Boss, Serious? Huna jibu la hilo swali?
Binti, hujakatazwa kupigania maslahi yako. Unapigania lile linalokufaa, lenye maslahi kwako na familia yako, Wewe kama upande wako ni wa kuandamana na ndio wenye maslahi kwako kapiganie maslahi yako.
Kumbe mtu akienda kuandamana automatically anaenda kuvunjwa miguu? Na mbona mmehaha sana hili suala? Mnatufanya tujiulize maswali mengi sana, au tukubaliane kuwa ni kweli “meli” i karibu kuzama!!!
Ndio, hukusukia kuwa ukiambiwa usiandamane, wewe ukaandamana basi udhibitiwe tu maana hakuna namna. Sasa hapo kwenye kudhibitiwa ndo kuna kuvunjika miguu wakati mwingine.

Elewa nafasi yako kwenye hizi fursa za kisiasa kisha pigania unaloona linakufaa, matokeo yatakuwa ni kwako na uzao wako. Usipigane blindly.
 
Kwani jamii ina shida gani? Ogopa kutumiwa na akina Mbowe, mkishavunjwa magoti wao wataenda Ikulu kwenye maridhiano nyinyi mkiwa mnaugulia maumivu
 
Lakini niliona polisi walisema kwenye kutuliza ghasia huwa wanaenda na machela kuwasaidia walioumizwa. Pia Ambulance huwa zinakuwepo. Au ni zuga tu?
 
Lakini kumbuka kuwa Polisi wamekataza maandamano haya. Mtoto akililia wembe.......
 
Ramani hii hapa:
View attachment 3102731


Binadamu anaangalia maslahi yake, ukiitwa kupambana hakikisha una mgao wako unaolingana na viungo utakavyopoteza au kifo. Tsh
Nadhani lengo la haya maandamano ni watu wafe ili Dkt Samia aonekane katili. Maana JF kune thread wanazifunga za kuwaombea polisi wasiwe wakali wawaache waandamanaji ila inavyoonekana mpaka JF iko mikononi ili kuhakikisha Dkt Samia anaondolewa madarakani na waadanaji. Aisee ngoja tuone. Bongo ni ngumu sana
 
Endelea kuishi ulimwengu wa utopia
Je unafahamu maana ya neno utopia? UTOPIA= place of ideal perfection especially in laws, government, and social conditions. 2. : an impractical scheme for social improvement. 3. : an imaginary and indefinitely remote place

Sasa kati ya mimi na wewe sijui ni nani yuko kwenye ulimwengu UTOPIA?
 
Nyerere na wapigania uhuru wengine wangekuwa falla kama wewe leo hii tusingejivunia uhuru huu bandia
Nyerere aligombea uhuru kutoka kwa wakoloni Waingereza, nyinyi mapimbi mnagombea nini? Kula ya Mbowe??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…