Ramani ya Maandamano ya CDM; NI Njia ya mauti au Ulemavu M/kiti Kashawapa

Napenda amani na naombea amani ya nchi hii hata leo nimeombea jambo hili lisilete maumivu kwa watu..ila wito kwa serikali nawenyewe wajitahidi kutatua mitafuruku wasifanye kuwa ni kawaida, kweli daily people die , sabab ni nyingi pia ila hazipaswi kuhusisha na ukiukaji wa makusudi wa haki za mtu kuishi. Kama kweli kuna watekaji au wauaji hii isionekane ni kawaida, tukemee na pia vyombo vya dola visiache question marks juu ya matukio hayo..mana watu kawaida kama mm naweza nisielewe kwanini matukio hayo na yanatishia amani hata kwa wengine. Mhimu vyama pinzani na raia kawaida kama tunajua wenzetu wenye mamlaka hawawezi kutatua mitafuruku hio basi tusifanye njia ambazo wao hawataki kwasababu bado majibu hayatapatikana zaidi ya wao kuwaumiza watu. Please vyomho vya dola msiwazie kuwaumiza wanaoandamana mpaka muone wanaleta fujo kweli..muwe karibu yao kama mnavyokuwa karibu ktk ulinzi wa mali nk.
 
Ndio umetumwa na mama yako uje uongee huu ujinga kwa kutetea ugali wako siku vijana wote wa tanzania wakiamka sijui kama mtaweza kuwapiga risasi wote
Vijana wajjnga Watanzania wakuandamana kwa ugali wa Mbowe wako wachache.
 
Kumbe mtu akienda kuandamana automatically anaenda kuvunjwa miguu? Na mbona mmehaha sana hili suala? Mnatufanya tujiulize maswali mengi sana, au tukubaliane kuwa ni kweli “meli” i karibu kuzama!!!
Maandamano siyo maonyesho ya u-Miss Temeke au maonyesho ya kwaya. Nenda kaandamane wakakuvunje
 
Kwahiyo wewe ndio umejipa jukumu la kutukumbusha kuhusu maslahi as if sisi ni naive hatujui kinachoendelea.

Viongozi wa CDM wamesema hadharani zaidi ya mara 10 kuwa wanaitisha maandamano ya amani kuweka pressure ya kushughulikia yanayoendelea? Na wameomba polisi kuwalinda? Yaani mtu atake kufanya fujo na bado aombe polisi kumlinda? Uelewa wenu ni finyu kiasi hiko?

It’s about doing the right things, mtu yeyote mwenye sane mind asingekuwa hapa anahubiria wananchi maslahi, angesupport wale wanaotaka “uwajibikaji “ Kwanini mnaruka ruka kama maharage wakati mnajua fika haya mambo yalikoanzia? Ilikuwa kuhusu uwajibika, hayo maslahi mmeyatoa wapi?

Ni mbowe huyo huyo aliyewazuia wananchi (mliowapa jina la wanaChadema) kumfanyia fujo Mh. Masauni msibani, Akiwa ana hope kuwa serikali itachukua hatua stahiki, basi walau Kuwafariji walioumizwa na matukio haya, Allover the sudden wana CCM wakawa kila mahali kuwamock CDM na kupush wapewe kesi/sijui washughulikiwe… Washughulikiwe kwa kipi walichofanya? (which ni kweli wameanza kushughulikiwa). Viongozi waupinzani wanaona enough is enough, ngoja tupush watu wafanye kazi yao, Cause they make the matter worse badala ya kucool situation, Wewe bado uko hapa unahubiri maslahi blah blah! Oneni aibu!

Eti vidrama, watu wanajiteka, oh CDM wanatekana, kifo ni kifo!
Fanyeni analysis tumefikaje hapa! Na nini kingefanyika tusingekuwa na mjadala huu!
 
Nyerere aliwahi kuwaweka watoto wake mbele wakati wa harakati za kudai Uhuru?
 
Kwahiyo wewe ndio umejipa jukumu la kutukumbusha kuhusu maslahi as if sisi ni naive hatujui kinachoendelea.
Hakuna sisi, kuna wewe na ndugu zako na familia yako. Kama wewe unajua maslahi yako ni yapi na upo tayari kuyapigania tatizo liko wapi?
Samiamustgo ni nini? Ipo haipo? Nimeona Mbowe kaachana nayo, hii ndo ilisababisha marufuku ya maandamano.
Polisi wamesema samiamustgo ni haramu hivyo usiandamane, ukiandamana wakaamua kukudhibiti unadhani atakayeruka ruka kama maarage ni nani?
Hahaha, unadhani mbowe anafanya siasa bure bila maslahi?
Eti vidrama, watu wanajiteka, oh CDM wanatekana, kifo ni kifo!
Fanyeni analysis tumefikaje hapa! Na nini kingefanyika tusingekuwa na mjadala huu!
Hapa umetoa pendekezo sahihi.
 
Ukitaka kumtawala mtu mpe maisha magumu,. Nahapo ndipo wanapo cheza Napo ccm

Huwezi kuandamana Kama ndani huna gunia la mahindi

Huwezi kuandamana Kama huna uhakika wa bajeti ya chakula angalau wiki moja

Njaa ndiyo inayo tutesa tz
 
Kwani jamii ina shida gani? Ogopa kutumiwa na akina Mbowe, mkishavunjwa magoti wao wataenda Ikulu kwenye maridhiano nyinyi mkiwa mnaugulia maumivu
Nina akili timamu za kwangu tumefika hapa tulipo kwasababu ya nyie mnao pewa dhamana kuahirisha kufikiri kizalendo, a .k.a kujizima data, (unyumbu), unyumbu wa kisiasa ni tabia ya kundi fulani lililopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi wao bila utii, do not compare yourself with my calibre
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…