Ramani ya Maandamano ya CDM; NI Njia ya mauti au Ulemavu M/kiti Kashawapa

Ramani ya Maandamano ya CDM; NI Njia ya mauti au Ulemavu M/kiti Kashawapa

Hilo utajua ww.
Be straight boss. Jambo kama hili si la kufanya janja janja. Kesho ni samiamustgo campaign inaanza, kila anayetoka barabarani kesho nia yake ni kumtoa madarakani raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Na ndio nia ya maandamano, ndivyo au sivyo?
 
Ndo maana nasema kuna maslahi yamejificha. Unachokisema hapa haya maandamano ni ya kumtoa raisi madarakani si ndio?
Swali fikirishi je maandamano ya chadema yanaweza kumtoa Rais madarakani kwa kutumia akili mgando jibu ni ndiyo. Jibu sahihi ni jamii ndiyo inaweza kufanya hivyo. Tanzania kwasasa chama cha siasa hakiwezi kuiondoa CCM madarakani
 
Be straight boss. Jambo kama hili si la kufanya janja janja. Kesho ni samiamustgo campaign inaanza, kila anayetoka barabarani kesho nia yake ni kumtoa madarakani raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Na ndio nia ya maandamano, ndivyo au sivyo?
Narudia tena, hilo utajua ww, sisi tunataka tupate wenzetu waliotekwa na vyombo vya dola kwa maagizo ya huyo rais.
 
Hata wakati wa mkoloni, babu yako alihamasisha hivi hivi watu wasishiriki harakati za uhuru hadi wahakikishiwe maslahi binafsi.

Naona utamaduni huo.umejikita hadi kwa wajukuu na vitukuu vyakrle.

Shameless
Asante, huyu anaonekana uoga na ujinga alionao ni wa kurithi kutoka kwenye vizazi vya babu zake. HOPELESS!
 
Usiwe tayari kutumiwa na wanasiasa pambania ugali wa familia yako
 
Kwani polisi na Samia mnaogopa nini?

Watu wamesema wanaadamana sio kufanya fujo mmejaza magari , mbwa, farasi.

Mbona hivyo vyote hatukuviona wakati matukio ya utekaji na mauaji yanashamiri?
 
Kwani wataumizwa na hao makamanda? Polisi wao wanatakiwa watoe ulinzi kwa waandamanaji ili wafikishe ujumbe kuwa wanawataka wafuasi wao waliotekwa na vyombo vya dola.
Hawana mpango wa kutoa ulinzi, wana mpango wa kuwapoga na kiwajeruhi raia watakaoandamana!! Yaan walipa kodi! na na mishahara ya wao polisi ndio walengwa kimsingi!!
 
Swali fikirishi je maandamano ya chadema yanaweza kumtoa Rais madarakani kwa kutumia akili mgando jibu ni ndiyo. Jibu sahihi ni jamii, (wananchi). Kwa Tanzania chama cha siasa hakiwezi kuiondoa CCM madarakani kwa sasa
Wanasiasa si wajinga linapokuja suala la madaraka. Wapo very smart. Wananchi lazima wajue wanachokifanya iwapo wanakifanya kwa maelekezo ya mwanasiasa.

Sasa hivi kuna mwanasiasa anawaambia raia kupitia chama kuwa watoke barabarani kwani samiamustgo, sasa hao watakaotoka wanajua uzito wa hicho wanachoambiwa wafanye? Tupeane elimu kwanza ili atakayeamua anatoka ajue anachofanya.

NB: Hakuna maandamano ya amani ya kumtoa raisi madarakani, lazima patokee machafuko.
 
Ukweli huleta hasira, nakuelewa.
Za kuambiwa usipochanganya na zako wakati wenzako wanakunywa kahawa na korosho wakiwa kwenye meza ya majadiliano baada ya machafuko utakuwa ukiuliza bei za kupachikwa vyuma za pingili za uti wa mgongo.
Ukweli gani we mjinga ? Nilicho uliza umejibu au umeleta ngonjera za kijinga kijinga ?.

Jibu swali nililokuuliza sio kuleta ngonjera za kijinga hayo maslahi anayo tafuta lissu andika hapa sio kuniletea ngonjera zako za kijinga na kuonesha upumbavu wako.
 
Ndugu Mbowe, ambaye anahamasisha maandamano haya, ana watoto lakini hajawahi hata siku moja kuwaweka mbele kwenye harakati hizi.

Kwa nini nyinyi mufanye hivyo? Vijana, kumbukeni kuwa Tanzania yetu ni nchi moja tu, na hatuna nyingine. Maandamano haya hayatatufaidisha, bali yataharibu taswira nzuri ya nchi yetu.
Tuchukue jukumu la kuyapinga kwa nguvu zetu zote, na tuachane na wanasiasa wachache wanaotaka kutuweka bize na maandamano ili wafurahishe mabosi wao huko nje, kama vile Ujerumani, kwa malengo yao binafsi.
Kwanini hoja ya watoto mnaipa sana kipaumbele kuliko kumuangalia yeye muhamasishaji kama anatekeleza hilo azimio?

Kama unaona Mbowe haiweki familia yake mbele basi na wewe jitokeze barabarani peke yako bila familia yako. Tatizo liko wapi?

Mbowe inawezekana kabisa kuwa ni kweli haweki familia yake mbele lakini mara nyingi tunamuona yuko mbele akiongoza hayo maandamano.

Nawewe kwanini hata mara moja usifanye hivyo ukajitokeza peke yako ukaiacha familia yako nyumbani?
 
Ukweli gani we mjinga ? Nilicho uliza umejibu au umeleta ngonjera za kijinga kijinga ?.
Nimekujibu vizuri tu na nikakuuliza kama umemchangia Lisu gari. Hii michango, posho ni nini kama si malsahi? Kwenye kampeni dhidi ya JPM zile drones zote za kumlinda fedha za nani zilikuwa zinatumika? Yeye hakunufaika nazo? Wewe niite mpumbavu ila ukweli ni kwamba, Hata ikifichwa, MASLAHI YAPO, SHUBAMIT. Na ukiyafuta siasa hailipi, ila kwasababu inalipa ndo maana kuna kutwangana hadi risasi.
 
Ndugu Mbowe, ambaye anahamasisha maandamano haya, ana watoto lakini hajawahi hata siku moja kuwaweka mbele kwenye harakati hizi.

Kwa nini nyinyi mufanye hivyo? Vijana, kumbukeni kuwa Tanzania yetu ni nchi moja tu, na hatuna nyingine. Maandamano haya hayatatufaidisha, bali yataharibu taswira nzuri ya nchi yetu.
Tuchukue jukumu la kuyapinga kwa nguvu zetu zote, na tuachane na wanasiasa wachache wanaotaka kutuweka bize na maandamano ili wafurahishe mabosi wao huko nje, kama vile Ujerumani, kwa malengo yao binafsi.
Mkuu kuandamana kutaharibu taswira ya nchi kivipi??? Kuna mtu kakulazimisha uende kuandamana??

Mkuu kila mtu ana haki na uhuru wa kufanya aonavyo inafaa kuhusu maandamano.

Kama unavyohamasisha watu wapinge maandamano ujue vyovyote hivyo na wenzio wanayo haki na uhuru wa kuhamasisha watu wakaandamane.

Maana hujavunja sheria na wao hawajavunja sheria. Cheza kwenye chaneli yako!!!
 
Uonaongelea wakati wa mkoloni tulipopata uhuru. Ila sasa hivi unatumika kupigania masilahi ya Freeman Mbowe. Endelea kuwa pimbi
Mkuu kwani shida nini, mbona wewe hapo unapigania maslahi ya Samia, kuna mtu kakusema. Pilipili usiyoila yakuwashia nini???
 
Nimekujibu vizuri tu na nikakuuliza kama umemchangia Lisu gari. Hii michango, posho ni nini kama si malsahi? Kwenye kampeni dhidi ya JPM zile drones zote za kumlinda fedha za nani zilikuwa zinatumika? Yeye hakunufaika nazo? Wewe niite mpumbavu ila ukweli ni kwamba, Hata ikifichwa, MASLAHI YAPO, SHUBAMIT.
Ila we jamaa jinga sana ni bora hata ukae kimya kuficha upumbavu wako sasa nini umeandika hapa ?

Kwa hiyo kulindwa na drones ndio maslahi ya yeye kumiminiwa risasi ? Ulitaka mgombea asilindwe tena aliye nusurika na shambulizi la kutoa uhai wake ?

Kwa hiyo kakubali kumininiwa risasi kisa michango ya kununua gari lake ? Ulitaka azurumiwe pesa zake asipewe kwa nini ?

Wewe kichwani zimo kweli ? Unanishangaza

Nani anaficha yaweke wazi wewe hayo yanayo fichwa unayo yajua sio ujinga ujinga na ngonjera za kipumbavu.

Andika hayo maslahi hapa yaliyo fichwa unayo yajua acha ngonjera za kijinga naya subiri hayo maslahi unayo yajua wewe yaliyofichwa ambayo mtu yupo tayari kuweka rehani roho yake kisa hayo maslahi
 
Back
Top Bottom