Raisi wa Africa ya kusini yupo USA ku nadi uwekezaji na kudumisha uwekezaji. Chama chake cha ukombozi kinashieikiana na chama cha africana wazungu ili kuweka nchi mbele ya matakwa binafsi.
Ruto ameweka pembeni tofauti zake na Odinga na wameweka nchi mbele na wote walikuwa China kutafuta uwekezaji
Samia kashuka chat sana na badala ya kukutanisha watanzania na kudumisha demokrasia na haki yeye ni kama hajielewi anawafunga upinzani bila kujua nyuma yake ni mamilioni ya watanzania. Lakini mahusiano na ndugu zetu hata wa Kenya ni mabaya sana kwa sasa. Mahusiano ya diaspora wetu ni mabaya sana. Nchi wahisani viongozi wao sasa wanaogopa hata kumwalika Samia kwasababu ya unyanyasaji wake na udikteta. Kibaya mnufaida wa anayofanya Samia tukijiuliza ni nani hatujui. Vijana na viongozi wa dini wanatekwa bila sababu. Polisi hawafuati sheria zozote na kila siku wananchi wanazidi kugawanyika. Raisi Samia anasema tuna amani! Amani ipi anayoongelea wakati kuna tekataka kila mahali. Ruto na Raisi wa SA marafiki wa Samia wamejiweka mbali naye kwasasa.
Ushauri achana na ubinafsi, fanyeni reforms , wekeni demokrasia na tendeni haki . Demokrasia ndiyo ndiyo itasaidia mapambano ya rushwa na kuwaleta watanzania wote kwenye kitu kimoja
Mama Samia anatakiwa aombe usahauri kwa hawa maraisi ambao wote wanapenda Tanzania na wana mahusiano mazuri naye. Asijaribu kuweka mazingira kama vile sisi ni tofauti maana sio kweli