RAMBIRAMBI YA RAIS SAMIA TSH.5,000,000 KWA FAMILIA ZILIZOPOTEZA NDUGU ZAO KWA SABABU YA AJALI, JE ZITADUMJ?

RAMBIRAMBI YA RAIS SAMIA TSH.5,000,000 KWA FAMILIA ZILIZOPOTEZA NDUGU ZAO KWA SABABU YA AJALI, JE ZITADUMJ?

nyachina

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2013
Posts
380
Reaction score
624
Nimeona kwenye vyombo vya habari nchini Rais akitoa rambirambi kwa familia ambazo zimepoteza ndugu zao kwa ajali za gari ya daladala na ajali ya watoto waliozama kwenye bwawa na kufariki. Ametoa kwa kila familia kiasicha Tsh.5,000,000.
Hii ni nia nzuri na yenye kuoneaha upendo na kuwajali wananchi.
Japo hapa naomba kutoa angalizo kuwa hili liendelee kwa familia zote zinazooata majanga ya ajali la sivyo akifanya hapa na akaacha kule hali hii inaweza kumjengea chuki kwa wale wasiopata rambirambi au pole kwa majeruhi
 
Back
Top Bottom