TANZIA Rambirambi za mwanachama mwenzetu Warumi

Status
Not open for further replies.
Mmmh Binaadamu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]. Tuwe na akiba ya maneno
Acha kabisa binamu
Mimi dini yangu inaniambia maiti haisemangwi wala kuongelewa maovu yake, ila humu daahh!nashangaa hawa wanaabudu wapi!

Yarrabil tupe staha na kinywa changu wanadamu maana nasi tutakufa pia!
 
Duh Dada Leo kweli umechafukwa[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Poleni buddy!
 
Tusike walikofika kwa akina Steve Nyerere ambao ndio wachangishaji wakuu wa wacheza vidali po na kila siku lawama za kufa kufaana.
 

Naona wa Mbeya wanaulizia eneo la msiba
 
Jamii forum ni jamii kama jamii zingine na kila penye jamii ya watu pana watu wa kila hulka na utashi tofauti........

Unachopaswa kufanya ni kuilinda dhamira yako isichafuliwe na waovu.......

Kadri unavyolazimisha kuaminika na mwenye nia ovu ndivyo unavyopoteza uaminifu kwa watu wema........

Simama na dhamira yako njema na Mungu atakulipa........

Mungu amlaze mahala pema mpwa wangu warumi.......
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…