Range Rover 13 anazomiliki Mchungaji Geordavie

Range Rover 13 anazomiliki Mchungaji Geordavie

Yaan pale anaongelea mafanikio na jinsi wenye mafanikio wanavyoishi kwa maisha ya kumpendeza mungu,atawashauri waumin wajitahid kusali na kumwamin mungu wa madhabau yake ili wafanikiwe zaidi,pia atawashauri watoe zaidi sadaka watafanikiwa zaidi au kama hujafanikiwa,inabid usubir kidogo utomboe maana ukifika kwenye madhabau kwake na ukamwamin mungu wake kutoboa ni rahis
ukienda sehemu ukasikia mchungaji anasema uombe kwa madhabahu yake, au mungu wake, kwanza jiulize, ni mungu yupi huyo asiye na jina, madhabahu ipi hiyo, manake kuna madhabahu nyingi, za shetani na ipo ya Mungu pia. msiende kichwakichwa.
 
Nom

Noma sana kaka. Nasikia hata yule mtoto wa Nisher aliyefariki,ni mzee alimtanguliza. Akatembea na mke wa Nisher Tena . Jamaa akawa mtu wa tungi.
Kuwaza hivi ni kuendekeza ujinga tu na ufinyu wa kufikiri.Huyo Mtoto kufariki ni sawa na Mtu yeyote anavyofariki,kupata pesa Hata wewe ukichangisha Watu wengi utapata pesa nyingi.
 
3 Mils I Love To Make 1, All These Cars I Love To Ride 1,
All These H0es I Love To Cut 1,
A Tribute To Big I Love To Bust 1
 
Back
Top Bottom