Range Rover imegharimu zaidi ya mil. 32 kukarabati taa na bampa la mbele

Mwaka fulani nilinunua Samsung S3 used kwa 130,000 ikaja kuharibika display nikaambiwa gharama ni 180,000 nikahisi nataka kupigwa, nikazunguka maduka ya Kkoo na M/Mbusho mwisho nikaenda Posta duka fulani hivi jamaa ananiambia gharama ni 250,000.

Ile simu hata sijui niliitupa wapi.

Same strategy ya kutojua nimeacha wapi kitu husika ningeiapply kwenye hili gari.
 

Umereplace original parts Mpya toka Kwa manufacturer hata Kama Ni Raum bado ingekuwa ghali tu!
 
Mikwara tu hii nyambafu
 
Emergency braking ni kwa ulaya tu hapa bongo utachomekewa na bajaji wenye daladala na boda boda mpaka gari itachanganyikiwa😅
😂😂🤣gari inaweza kugeuza ikapatafuta kipawa JK INter irudi kwao usifanye mchezo bongo.
 
safi sana, Bila shaka pesa si ile ya mvuja jasho anayekamuliwa tozo ya kila aina, inayotoka kwa njia nyepesi ya Debit na Credit
 
[emoji23][emoji23] nmekumbuka jamaa yangu mmoja aligongesha Range lover ya shemeji yake hesabu ya ku fanya repair and maintenance ilibidi auze gari zake mbili Subaru Forester na IST
Rafiki yangu mmoja alikua pia anachukua ya shem wake anavimba mjini.
Sijatia mguu mle ndani namwambia tangulia tukutane huko tunaenda maana asije kusema nilikua na huyu tulipe wote.
 
Kuna uzi flan nmeona jamaa anahamasisha vijana wanaoanza maisha wanunue range Rover badala ya HARRIER kwasababu Bei za manunuzi Ni sawa.

Nikasema hi hi hiiii...baghosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndogo sana hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…