Range Rover imegharimu zaidi ya mil. 32 kukarabati taa na bampa la mbele

Hizi ni sifa sasa,hiyo si ni bei ya Harier kila kitu mpka ushuru na reg.
 
Tumia akili miguu yako na kilichoko chini ya kitovu chako utazipata hizo m32 kilaini yani ki ky ky au ki slowslow
Halafu comment za hiv ni za hovyo kabisa .kama ndiyo biashara yako inayokuweka mjini si ubaki nayo kimya kimya
 
bill Lugano njoo huku,kuna mtu anaona M 32 hela nyingi eti
 
Hapa labda kama Unazungumzia Third Party Insurance.

Ila Comprehesive Insurance watakulipa.

Halafu gari kama hii kukatia Third Party ni wehu.
Kwamba comprehensive insurance watagharamja maintanance?, Mbona kama sijakuelewa!
 
Nisamehe Lucky wangu afu nilitaka nije PM nikuombe kitu yako hiyo...
Lakini, ulivosema unatamani kuokota mihela yote hiyo...hata mtu akikuhonga si ni kama umeokota vile, yaani unabonyezwa na mbunye unabaki nayo kiroho safi mpunga kwenye pochi!!
Afu usijikasirishe mtoto mzuri kama nakutania je!
 
Kwa hiyo hela ya matengezo naweza pata ist 3 zilizonyooka nasajili uber kwa siku hesabu ni 30,000 kwa tatu kwa siku 90,000 zidisha kwa wiki mara 6 = 540,000 kwa mwezi unapata 2,160,000/= kwa mwaka una 25,920,000/=.
Mahesabu rahisi sana ila tuje kwenye uhalisia sasa 😬
 
Hiyo hela mtumie tu mama yako atafurahi sana
 

Hata hivyo hiyo RR inaonekana ni L405... Kuanzia 2011...

Bei ya spea pia lazima iwe imesimama.
 
kuna gari ukikutana nazo barabarani kaa mbali mita 20 maana daah
Hata ukigonga sheria haikulazimishi utengeneze, ndio mana unaambiwa gari lako liwe na insurance.
Sasa mimi waga nashangaa mtu anakubali kurekebisha gari cjui m 6.
Hapana Insurance inafanya nn? Kama mtu aliqeza nunua gari ya 100M na insurance aweke comprehensive.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…