Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Kutizama picha za kwenye gazeti la kasheshe.Duh! Hii sheria ikija tz wazee wengi wataishia jela kwa mambo hayo waliowafanyia wanawake huko nyuma ujanani. Unashangaa bibi fulani anafungua mashitaka kuwa ulimnyanyasa kingono alipoingia kwenye geto lako kutazama picha za magazeti uliyobandika getoni enzi akiwa msichana na ushahidi anao
mbona didy alikuwa si mtu wa matukio ya kihuni tangu zama zile za uhasama wa east coast na west coast japo inajulikana alikuwa upande gani mpaka walimtungia wimbo mtu wao wa kambi aliyokuwaFuatilia skendo za didy
didy hana usafi wowote, hata pac na big wangekuwa hai yangeibuka ya kuibuka tu maana walikuwa wanafanya mambo ya hovyo sana kwa wanawake enz hzo.Fuatilia skendo za didy
kumbuka na gazeti la sanifu mhariri wa katuni akiwa ni masoud kipanyaKutizama picha za kwenye gazeti la kasheshe.
Hatari.kumbuka na gazeti la sanifu mhariri wa katuni akiwa ni masoud kipanya
Ulikuwa wafuatilia tu upande wake mzuri. Kuna scandal kuwa pia alimfanyia mchezo mchafu usher wakati anaisho naye usher akiwa mdpgombona didy alikuwa si mtu wa matukio ya kihuni tangu zama zile za uhasama wa east coast na west coast japo inajulikana alikuwa upande gani mpaka walimtungia wimbo mtu wao wa kambi aliyokuwa
hao wakina big na pac ni cha mtoto , puff ni zaidi ya uhuni , jamaa ni mafia godfathermbona didy alikuwa si mtu wa matukio ya kihuni tangu zama zile za uhasama wa east coast na west coast japo inajulikana alikuwa upande gani mpaka walimtungia wimbo mtu wao wa kambi aliyokuwa
Ni mtu mmoja boss sema alibadili majina ya kujibandika toka puff Dady kuwa P didyNaomba kuuliza mbona P diddy na puff daddy wanafanana sana? Ni ndugu au mapacha?
ina maana jamaa alikuwa basha mbobevu kuwapelekea wenzake moto?Didy naona mambo yanamzamia juzi kati Fabolous anasema jamaa ukienda kwake ukalala asbh unashangaa jamaa yupo nyuma yako,
Pole kwake
Waamerika weusi nao wana mambo ya kipumbavu. Huyu Didy anatajwa sana kuwalawiti Usher na Justin Bieber wakati wakiwa vijana wadogo. Kwa taarifa zilizopo mitandaoni ni kuwa ilibidi mama yake Usher amwondoe kijana wake karibu na Didy baada ya kupata gonjwa la ngono.Wale watu waovu huenda naye wanamshughulikia kama R. Kelly na Bill Cosb. USA wanapenda sana kushitakiana kwa kesi za ngono. Ukute jitu lilitongozwa likakubali lenyewe miaka imeenda limepigika ki maisha linataka lipatiwe mpunga liendeshe maisha yake. Wale watu waovu nao ukianza kuwakatalia kufanya kazi zao wanazotaka uwafanyie wanakukomoa kwa kesi za ajabuajabu
HahahaDidy naona mambo yanamzamia juzi kati Fabolous anasema jamaa ukienda kwake ukalala asbh unashangaa jamaa yupo nyuma yako,
Pole kwake
Bill Cosby, Michael Jackson, Robert Kelly, Sean Combs, who's next huh ?
Bill Cosby, Michael Jackson, Robert Kelly, Sean Combs, who's next huh ?
Uko sahihi 100%. Kuna manyanyaso makubwa sana ya kingono.Tasnia ya mziki ina mambo mengi ndugu yangu hata hapa bongo kina nandy zuchu sijui maua wakiamua kuongea watu watakimbiana.
Uigizaji sidhani kama ni kivile
Waamerika weusi nao wana mambo ya kipumbavu. Huyu Didy anatajwa sana kuwalawiti Usher na Justin Bieber wakati wakiwa vijana wadogo. Kwa taarifa zilizopo mitandaoni ni kuwa ilibidi mama yake Usher amwondoe kijana wake karibu na Didy baada ya kupata gonjwa la ngono.
Wa kutifua mitaro huko America vipi unataka connection na wewe ukatifuliwe?Ana umashuhuri gani huyu please (wengine tuko nyuma)
Msela anabadilisha majina kila mara. Majina kama Sean comb, Puff daddy na P Diddy ni yake na sasa hivi anajiita Love.Naomba kuuliza mbona P diddy na puff daddy wanafanana sana? Ni ndugu au mapacha?
Kamwambia watengeneze Movie au Series ya hizo kesi zote atatembea na script na yeye 50 atakua ndio director mwenyewe50 Cents atakua anachekelea naona.