Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahahahah huko kwao inawezekana ila bongo ni ngumu1991 kamera ziko ikulu tu,jama masihala haya.Google Watergate scandal uone mambo yaliyompata rais Nixon early 1970s
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahah huko kwao inawezekana ila bongo ni ngumu1991 kamera ziko ikulu tu,jama masihala haya.Google Watergate scandal uone mambo yaliyompata rais Nixon early 1970s
Hv ni madona au shakira spain huko.Akicheza fyongo tu anaenda kukaa nyuma ya Nondo yaan hapo inaswakwa Pesa, Madonna kakubari kulipa nje ya Mahakama baada ya kupewa kesi ya ukwepaji kodi tax evasion, sasa Diddy km anajua ushahidi upo wamalizane nje ya Mahakama yaishe kinyume na hapo akikaza debe linamsubiria
Kuna wale jamaa kwenye ule Uzi wa "Kula tunda kimasihara", haloo Huwa nnawasomaga Kisha naishia kuwasikitikia tu, maana najua kabisa huko mbeleni tunakoelekea hakuna atakayesalimika yakija masuala ya me_too_movement kwa scenerios zilizopo pale unless labda wale wote waendelee kuwa choka mbaya maisha yao yote kiasi kwamba hata wanawake wenyewe waliopigwa mshine waone hakuna cha kunufaika nao.USA wana mambo ya ajabu sana, bongo mpaka mtu afikie uzee atakuwa amekula wanawake wasiohesabika na wengine kusahaulika. Sasa ukute ulimla demu huko ujanani ukasahau, ukubwani anakuibukia kuwa ulimla vibaya anataka umlipe fidia kwa kumdhalilisha, wabongo wangekoma na ngono za kizembe zembe kwa kuhofia sheria hiyo endapo mwanamke uliyemsasambua ataamua kufungua mashitaka ya kudhalilishwa
Baada ya kumalizana na Cassie wamemtafutia balaa lingine.Tangu nlivooona juzi kesi ya tupac imeibuka tena na Diddy kahusishwa nikajua tu huyu CIA watampoteza na hakuna kesi rahisi kukupoteza hapo marekani kwa sasa kama ubakaji na unyanyasaji wa jinsia....Kushirikiana na taasisi za siri za serikali unaeza piga ela mingi ila mwisho wake mara nyingi sio mzuri.
Huwa najiuliza huyu kwa fujo zake, labda wanamsubiri mbeleni.Hivi snoop hawezi pata kesi Kama hii?
Maana mshenzy yule kawanawa Sana wadada, adi kwny nyimbo anawatia vidole
Mshenzy yule ana mimbwa yake anaioam Isha papuchi za wadada kwenye jumba lakeHuwa najiuliza huyu kwa fujo zake, labda wanamsubiri mbeleni.
Shakira sijui Madonna hawa watu wananichanganyaHv ni madona au shakira spain huko.
Ni shakira mkuuShakira sijui Madonna hawa watu wananichanganya
Itakua ndio huyo huyo si ndio yule ana watoto wangapi vile?Ni shakira mkuu
Ameolewa na pique mchezaji wa zamani wa barca.Itakua ndio huyo huyo si ndio yule ana watoto wangapi vile?
Ndio maana Mimi nasema wengi wa wanaoibua hizi kesi wanakuwaga ni opportunists tu, mara nyingi huwa sio kwelii kwamba walibakwa/walinyanyaswa actually unakuta walifanya ngono ya makubaliano(consensual sex) miaka hiyo, ila unakuta mwanamke hakuna alichonufaika kutoka kwa mwanaume huyo zaidi tu ya Ile sifa kwamba alilala na superstar.Wahanga wa hizi kesi watakuwa wanasiasa wenye ukwasi na masupa staa wenye hela za kueleweka. Chukulia mfano diamond platnumz huyu baba hana pa kukwepa itabidi alipe fidia tu kwa wanawake aliwaburuza kisha akawaacha kiholela. Ndio tunakoelekea, wanaharakati wa mambo ya wanawake wakigundua tu kuna mpunga mwingi utapigwa wataanza kushinikiza itungwe sheria ya kulinda utu wao dhidi ya wanaume. Hawataona aibu kuwa waliburuzwa na majamaa zao huko faraghani na walipwe fidia kwa kudhalishwa. Ilitaka kuanza kudai matunzo kwa mtoto kwa lazima kutoka kwa baba aliyetelekeza mimba/mtoto zoezi lile liliyeyuka. Kama una hela usichezee wanawake kiholela watakuja kudai fidia sheria ikitungwa
Kwani Sheria hufanya kazi Retrospectively?Wahanga wa hizi kesi watakuwa wanasiasa wenye ukwasi na masupa staa wenye hela za kueleweka. Chukulia mfano diamond platnumz huyu baba hana pa kukwepa itabidi alipe fidia tu kwa wanawake aliwaburuza kisha akawaacha kiholela. Ndio tunakoelekea, wanaharakati wa mambo ya wanawake wakigundua tu kuna mpunga mwingi utapigwa wataanza kushinikiza itungwe sheria ya kulinda utu wao dhidi ya wanaume. Hawataona aibu kuwa waliburuzwa na majamaa zao huko faraghani na walipwe fidia kwa kudhalishwa. Ilitaka kuanza kudai matunzo kwa mtoto kwa lazima kutoka kwa baba aliyetelekeza mimba/mtoto zoezi lile liliyeyuka. Kama una hela usichezee wanawake kiholela watakuja kudai fidia sheria ikitungwa
Yule ana mke wake wapo pamoja toka shuleniHivi snoop hawezi pata kesi Kama hii?
Maana mshenzy yule kawanawa Sana wadada, adi kwny nyimbo anawatia vidole
Halafu mke wake hardcore kama yeye, utamkuta kapigilia gauni la mauamaua na raba nyeupe chni hana habarYule ana mke wake wapo pamoja toka shuleni
Yule muhuni kideoni tu kwenye familia yupo vizuri
Snoop ataacha lini kuacha kuonekana muhuni, mbona umri wake umepanda ila bado anaonekana ni kijana muhuniYule ana mke wake wapo pamoja toka shuleni
Yule muhuni kideoni tu kwenye familia yupo vizuri
Uncle snoop kuna kipindi miaka ya nyuma walitaka kutengana alivyosikia kugawana mali bangi zote zikaisha kichwani akaona isiwe tabu atang'ang'ana humohumo 😄Halafu mke wake hardcore kama yeye, utamkuta kapigilia gauni la mauamaua na raba nyeupe chni hana habar