Rappers waliokufa kwa kupigwa risasi


Sio Cardib ni megan thee stallion
 
Kuna wengine wameuliwa kwa chuki tu..
 
kipinidi cha miaka ya kuanzia 2005 mwanza ulikuja huu mtindo wa makundi sema tu kulikua hakuna bunduki ila vijana waliuana sana kwa visu makundi kama
Wa2facka
Wakutimba
Akadabradabra
i1{inasomeka ai one}
Mazabe
36chambers
Mapimpiro
Watoto wa wakoma
na mengine mengi zilianza mishe kama hizi hizi uvutaji na uuzaji bangi, pariki na kuberi pamoja na mademu yalikua yanaleta ugomvi na kutemeshana unakuta mtu anakitu ananyang'anywa shukuru mungu aliingia kamanda mroto wakavidhibiti
 
Tatizo ukiwa kwenye gang then ukatusua basi wenzako wote wanataka mgawo wao, ukiwatosa unakuwa target, ndio maana wengi wanauliwa na gang members wenzao, tatizo lingine ni biashara ya madawa, gang zina tabia ya kumiliki mtaa akitokea mwingine kutoka gang nyingine kufanya biashara eneo lao ni kifo tuu, na kwenye gang culture hakuna nafasi ya kufanya makosa na unaweza kuuliwa kwa ajiri ya dola 20 au demu, vijana wengi sana kutoka familia za Kiafrica kama Liberia, Somalia etc ambao wamezaliwa US siku hizi nao wameingia kwenye culture hii ya ovyo, like Minneapolis nasikia vijana wa Kiafrica wanakufa kama kuku na wanauana wenyewe kwa wenyewe
 
kama south africa
 
Sio shabiki wa Gucci Mane ila Kodak Black nae katulia tangu atoe Too Many Years ft PnB Rock alimaanisha alichoimba. Ni kama NBA alivyotoa Heart & Soul alivyotoka jela na Sincerely, Kentrell album. Ila bado yuko chini ya uangalizi wa kisheria
 
Noma sana
 
Hatari sana haya mambo
 
Mzalamo wa kijichi[emoji23]
 
Hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…