Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,186
- 7,492
Sasa mkuu tatizo ni kwamba licha ya kwamba wote bado tunaipenda Tanzania na tungependa tuendelee kuitwa watanzania, lakini sasa kwa mueleke wa katiba ijayo (kama ikipita) tutakuwa na serikali tatu , ambapo ni lazma sisi wa huku (iliyokuwa Tanganyika) ama tukubali kujiita tena Tanganyika; au tujitafutie jina jengine tulipendalo.Nje ya hapo hakuna chaguo.Mimi nilipendekeza serikali moja ili kuondoa mambo haya ila wazo langu halijapitishwa na tume.hapo fika and hope ibaki as is. Tanzania kwa watu wake ni poa na kujitambulisha inaridhia.!!
good suggestion.
Wengi wanaijua bongo ilipo ila hawa wazungu hua wanajidai tu kukudhalilisha na wewe unaamini.Hili lenyewe la Tanzania ukiwa nje ya nchi mtu akauliza unatoka wapi ukasema Tanzania swali linalofuata hama ni Where is Tanzania au Is Tanzania near Nigeria. Njia rahisi huwa ni kusema Tanzania is near Kenya. Sasa ikiitwa hiyo Tanzanite si ndo watasema, Is Tanzanite one of the Caribbean Islands? Hapo ndo tutachoka kabisa. Bora tubaki na hiyo Tanzania kiugumu ugumu
hii itatafsiriwa kama ukabila na upendeleo.Haitapendezambona kuna ambao walisema bora tuitwe "Kilimanjaro" ili jina la mlima huo maarufu duniani uvutie watu kuja kutuona? #Ubinafsi
their argument: #Tanganyika haikutafsiriwa kama upendeleo wa watu wa Kigoma na Mpandahii itatafsiriwa kama ukabila na upendeleo.Haitapendeza
Sasa mkuu hapo kutakuwa na mkanganyiko.Utakaposema "Serikali ya shirikisho" si lazma useme serikali ya shirikisho ya wapi? Sasa si kutakuwa na serikali ya "Shirikisho ya Jamuhuri ya Tanzania" na "Serikali ya Jamuhuri ya Tanzania bara"? hii ndio itakaaje?Lakini mkuu, ukumbuke kwamba Jaji Warioba alisema, namnukuu, "Tume ilifikia uamuzi wa kupendekeza mfumo wa Serikali tatu. Yaani Serikali ya Shirikisho, Serikali ya Tanzania Bara na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar."
Angalia vizuri ktk rangi nyengundu, tume inapendekeza serikali ya "Tanzania Bara." Imekwepa kusema "Tanganyika." Kwa nini? Labda tushauri kwanza kwamba katika rasimu warekebishe mahali hapo ili pasomeke kwamba "Serikali ya Tanganyika na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar." La sivyo, jina litakalorejeshwa kwa bara litakuwa hilo lililopendekezwa na tume.
tazama hapa,Nadhani tusome vema.4.Tanganyika itaitwa jimbo la Tanganyika na Zanzibar itaitwa jimbo la Zanzibar na kila jimbo litaongozwa na Gavana.Lakini mkuu, ukumbuke kwamba Jaji Warioba alisema, namnukuu, "Tume ilifikia uamuzi wa kupendekeza mfumo wa Serikali tatu. Yaani Serikali ya Shirikisho, Serikali ya Tanzania Bara na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar."
Angalia vizuri ktk rangi nyengundu, tume inapendekeza serikali ya "Tanzania Bara." Imekwepa kusema "Tanganyika." Kwa nini? Labda tushauri kwanza kwamba katika rasimu warekebishe mahali hapo ili pasomeke kwamba "Serikali ya Tanganyika na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar." La sivyo, jina litakalorejeshwa kwa bara litakuwa hilo lililopendekezwa na tume.
Sasa mkuu hapo kutakuwa na mkanganyiko.Utakaposema "Serikali ya shirikisho" si lazma useme serikali ya shirikisho ya wapi? Sasa si kutakuwa na serikali ya "Shirikisho ya Jamuhuri ya Tanzania" na "Serikali ya Jamuhuri ya Tanzania bara"? hii ndio itakaaje?
Basi sasa tatizo lipo hapo kwenye Jimbo la Tanganyika.Hapo ndio pananipa shida.tazama hapa,Nadhani tusome vema.4.Tanganyika itaitwa jimbo la Tanganyika na Zanzibar itaitwa jimbo la Zanzibar na kila jimbo litaongozwa na Gavana.
Sasa mkuu hapo kutakuwa na mkanganyiko.Utakaposema "Serikali ya shirikisho" si lazma useme serikali ya shirikisho ya wapi? Sasa si kutakuwa na serikali ya "Shirikisho ya Jamuhuri ya Tanzania" na "Serikali ya Jamuhuri ya Tanzania bara"? hii ndio itakaaje?
tazama hapa,Nadhani tusome vema.4.Tanganyika itaitwa jimbo la Tanganyika na Zanzibar itaitwa jimbo la Zanzibar na kila jimbo litaongozwa na Gavana.
Basi sasa tatizo lipo hapo kwenye Jimbo la Tanganyika.Hapo ndio pananipa shida.
Mkuu, umekwoti kutoka wapi? Tutazame wapi?
Ikumbukwe, tume ya Warioba ilikuwa na 50% wazanzibar ambao hawana mamlaka ya kujadili mambo ya Tanganyika.