Rasmi: Barcelona yatangaza Messi kuondoka Klabuni hapo baada ya kushindwa kuongeza Mkataba

Messi alikua tayari kupokea nusu ya mshahara wake lakini bado vitabu vinagoma
 
Ligi ya EPL itakuwa na wafuatiliaji zaidi akienda man City
 
Karibu Red Devils..Karibu EPL..Ligue 1 haina Maisha..
 
It's official nendeni Twitter page ya PSG baba yake na Messi yupo huko Wana negotiate
 
Atue man city tu


Mazao ya lamasia huwa wanakauli ukitoka barca basi ukacheze team ambayo haitakuja kukutana na barca ata iweje
Ndio maana iniesta na xavi walienda far
 
ndo huo mshahara mkuu, kwani unafikiri Barcelona wamemuacha kwa ajili ya nini? pound milioni 64 mshahara tu si ndogo.
Kweli parefu sana. Ukizingatia clubs zinazolipa mshahara wa hivyo ni zakuhesabika. Labda aende Man City, PSG au China huko atalipwa vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…