Rasmi: Barcelona yatangaza Messi kuondoka Klabuni hapo baada ya kushindwa kuongeza Mkataba

Barca na real zote zimefilisika korona nuksi.

Pale epl sijui kuna nini vile vilabu havifilisiki
Real Madrid imefilisika kivipi? Barcelona ndio wana matatizo ya kifedha tokea awali, ila Real Madrid hawana hiyo shida.
Real Madrid msimu huu wamepata faida, kilichotokea ni kwamba mapato tu yalipungua, na Madrid haijashindwa kusajili mchezaji Mkubwa, Malengo na Florentino ni kumsajili Mbape tu msimu huu kama haitawezekana basi watafanya hivyo msimu ujao.
 
Ni nick name ya messi inamaanisha kifaranga.kama walivyo wakina falcao anaitwa el tigre.au Sanchez anajulikana kwa jina jengine kama El nino Maravilla.Fernando Torres El Nino.na wengineo wengi.
La Pulga, ikimaanisha 'kiroboto'
 
Messi , Ronaldo ndio ni maarufu ila hiyo haimaanishi kwamba wao ndio wanajua sana mpira Dunia nzima .

Zipo namba zinapoga soka lakini hazipewi huo umaarufu.

Tukumbuke kuna biashara ya media.

Hebu wataje wanaojua kumzidi Messi!!!! Eti haimaanishi kwamba wao ndio wanajua sana mpira Dunia nzima. Kama humpendi Messi kaa kimya, unajizalilisha tu mkuu.


Nani asiependa kufanya kazi na Messi, sema uwezo wa kumnunua na kumhudumia hawana.


Tokea soka lianze akujawai tokea mchezaji kama Messi, chochote ndani ya uwanja anakupatia, mchezaji ambae amedumu longtime katika kiwango kuliko mchezaj yoyote.
 

Barce itapoteza mvuto, tena co kidogo. Messi ni engine ya barca, bila Messi hakuna kitu pale. Na itachukua longtime kumpata mbadala wa Messi, au hakuna kabisa.
 
Barce itapoteza mvuto, tena co kidogo. Messi ni engine ya barca, bila Messi hakuna kitu pale. Na itachukua longtime kumpata mbadala wa Messi, au hakuna kabisa.
Walau atapatikana hata anayefika robo ya Messi.
Messi ni mmoja tu hapatatokea somebody exactly like Messi katika uso wa dunia hii.
 
Utashangaa Simba wanamchukua. Sijui kwanini wanapenda wachezaji wazee
 
Man City washamchukua Jack na tayari kakabidhiwa jezi namba Kumi... Messi na no 10 kma alizaliwa nayo tusubiri... Jpo PSg watakuwa na nafasi nzuri let's wait
PSG wamchukue Messi wanini wakati ashazeeka. Hawawezi
 
Hawakujua kama Messi atakuwa available hivyo kama mkataba na Kane haujawa tayari sitashangaa wakichomoa betri kwa Kane ili wamsajili Messi.
Hawawezi. Messi ashazeeka. Nani anamtaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…