Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 228
- 933
Source ya hii habari unaweza share?
Si mgugo wazee, kaweka kila kitu hapoSource ya hii habari unaweza share?
Mavi hayo hawanaSimba kukata mzizi wa fitna, ishimde mechi ya kwanza ugenini...
Mahaba yanapofusha"KWA-MKAPA HATOKI MTU - Hii slogan iliyoanzishwa na Simba SC ndiyo hasa inawaumiza kichwa CAF, RS BERKANE na VIBARAKA wao. Wanahofia kombe litabakia Tanzania, kama hali hii ya kiwanja ipo hivi leo, WHY mechi isichezwe ikachezwe Zanzibar?
CAF waliwapa mashabiki wa Simba SC tunzo ya mashabiki bora Afrika wakiwa hata hawajacheza Nusu Fainali, lakini ile turn out yao kila game na namna wanavyohanikiza ushindi ilikuwa balaa, leo timu ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa. CAF ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha ya CAF inatafuta ahueni ikacheze Zenji kwenye mashabiki 15,000 wanaogopa mashabiki 60,000/ watashusha gharika.
Nafahamu jitihada kubwa zilizofanywa na zinazoendelea kufanywa na Serikali, TFF na Simba SC juu ya kutumia uwanja wa Mkapa., nafahamu namna msimamizi/mkaguzi wa Viwanja wa CAF wa mwanza (Moustafa) ambaye alikuwa Mmorocco alivyokuwa anataka mechi ikachezwe Zanzbar akiogopa Kwa-Mkapa, nafahamu aliyeletwa pia anatoka Morocco 🇲🇦.
Hapa kuna vita ya Morocco 🇲🇦 Vs Tanzania 🇹🇿, kama una kichwa maji pekee ndio huwezi kujua hii kitu. Ila Morocco mpaka sasa wanasaidiwa na CAF kitu ambacho ni hatari sana."
BİN KAZUMARI MTIPA (The voice of the voiceless)
Mavi hayo hawana
Wacha chuki... Kwa hili lililofanyika kwa taarifa yako ndio inawaongezea Simba machungu ya kupamabana vilivyo ili wamalize gemu huko huko Morocco..Mavi hayo hawana
Kupambana uwezo ndugu yanguWacha chuki... Kwa hili lililofanyika kwa taarifa yako ndio inawaongezea Simba machungu ya kupamabana vilivyo ili wamalize gemu huko huko Morocco..
Mtaficha wapi sura zenu siku mnyama anatwaa Ubingwa wake wa CAFCC..??Kupambana uwezo ndugu yangu
Simba anaimalizia Fainali Morocco kwa taarifa yako....Yaani anabeba Ubingwa huko huko Morocco..😀
Maana jamaa wamekomaa na kwa Mkapa kwa Mkapa wakati mechi ya kwanza hawajacheza ambayo ndio ya muhimu kuliko hata hiyo ya nyumbani...
Wenzao wanawayoa kwenye reli sasa, na inaweza ikawaathiri kwenye game 1 wakaishia kupigwa nyingi fainali ikaishia huko huko...
Mipango sio matumizi.Simba naimalizia Fainali Morocco kwa taarifa yako....Yaani anabeba Ubingwa huko huko Morocco..
Hifadhi hii comment yangu..Mipango sio matumizi.
Ni sawa kuwa na matamanio.Hifadhi hii comment yangu..
Mtapelekwa UgandaMimi nafikiri serikali itoe tamko kwamba Uwanja wa Amani upo katika Marekebisho...
Huwajui CAF mechi inaweza ikahamishiwa Morroco.Mimi nafikiri serikali itoe tamko kwamba Uwanja wa Amani upo katika Marekebisho...