Mvua ilikunyaVipi game ya al masry uliuonaje uwanja?
Ukweli usemwe tu siyo kwa ushabiki kwa mkapa ikinyesha mvua uwanja huo ni mbovu kuliko kawaida"KWA-MKAPA HATOKI MTU - Hii slogan iliyoanzishwa na Simba SC ndiyo hasa inawaumiza kichwa CAF, RS BERKANE na VIBARAKA wao. Wanahofia kombe litabakia Tanzania, kama hali hii ya kiwanja ipo hivi leo, WHY mechi isichezwe ikachezwe Zanzibar?
CAF waliwapa mashabiki wa Simba SC tunzo ya mashabiki bora Afrika wakiwa hata hawajacheza Nusu Fainali, lakini ile turn out yao kila game na namna wanavyohanikiza ushindi ilikuwa balaa, leo timu ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa. CAF ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha ya CAF inatafuta ahueni ikacheze Zenji kwenye mashabiki 15,000 wanaogopa mashabiki 60,000/ watashusha gharika.
Nafahamu jitihada kubwa zilizofanywa na zinazoendelea kufanywa na Serikali, TFF na Simba SC juu ya kutumia uwanja wa Mkapa., nafahamu namna msimamizi/mkaguzi wa Viwanja wa CAF wa mwanza (Moustafa) ambaye alikuwa Mmorocco alivyokuwa anataka mechi ikachezwe Zanzbar akiogopa Kwa-Mkapa, nafahamu aliyeletwa pia anatoka Morocco 🇲🇦.
Hapa kuna vita ya Morocco 🇲🇦 Vs Tanzania 🇹🇿, kama una kichwa maji pekee ndio huwezi kujua hii kitu. Ila Morocco mpaka sasa wanasaidiwa na CAF kitu ambacho ni hatari sana."
BİN KAZUMARI MTIPA (The voice of the voiceless)
Ubaya Ubwela. Mnavyowaonea UTO kupitia kwa Bodi ya Ligi na TFF na KARIA wenu."KWA-MKAPA HATOKI MTU - Hii slogan iliyoanzishwa na Simba SC ndiyo hasa inawaumiza kichwa CAF, RS BERKANE na VIBARAKA wao. Wanahofia kombe litabakia Tanzania, kama hali hii ya kiwanja ipo hivi leo, WHY mechi isichezwe ikachezwe Zanzibar?
CAF waliwapa mashabiki wa Simba SC tunzo ya mashabiki bora Afrika wakiwa hata hawajacheza Nusu Fainali, lakini ile turn out yao kila game na namna wanavyohanikiza ushindi ilikuwa balaa, leo timu ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa. CAF ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha ya CAF inatafuta ahueni ikacheze Zenji kwenye mashabiki 15,000 wanaogopa mashabiki 60,000/ watashusha gharika.
Nafahamu jitihada kubwa zilizofanywa na zinazoendelea kufanywa na Serikali, TFF na Simba SC juu ya kutumia uwanja wa Mkapa., nafahamu namna msimamizi/mkaguzi wa Viwanja wa CAF wa mwanza (Moustafa) ambaye alikuwa Mmorocco alivyokuwa anataka mechi ikachezwe Zanzbar akiogopa Kwa-Mkapa, nafahamu aliyeletwa pia anatoka Morocco 🇲🇦.
Hapa kuna vita ya Morocco 🇲🇦 Vs Tanzania 🇹🇿, kama una kichwa maji pekee ndio huwezi kujua hii kitu. Ila Morocco mpaka sasa wanasaidiwa na CAF kitu ambacho ni hatari sana."
BİN KAZUMARI MTIPA (The voice of the voiceless)
Labda kombeoMtaficha wapi sura zenu siku mnyama anatwaa Ubingwa wake wa CAFCC..??
Hifadhi hii post yanguLabda kombeo
Wewe na huyo Kazumari hamna tofauti na Wassira wa ccm😂😂"KWA-MKAPA HATOKI MTU - Hii slogan iliyoanzishwa na Simba SC ndiyo hasa inawaumiza kichwa CAF, RS BERKANE na VIBARAKA wao. Wanahofia kombe litabakia Tanzania, kama hali hii ya kiwanja ipo hivi leo, WHY mechi isichezwe ikachezwe Zanzibar?
CAF waliwapa mashabiki wa Simba SC tunzo ya mashabiki bora Afrika wakiwa hata hawajacheza Nusu Fainali, lakini ile turn out yao kila game na namna wanavyohanikiza ushindi ilikuwa balaa, leo timu ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa. CAF ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha ya CAF inatafuta ahueni ikacheze Zenji kwenye mashabiki 15,000 wanaogopa mashabiki 60,000/ watashusha gharika.
Nafahamu jitihada kubwa zilizofanywa na zinazoendelea kufanywa na Serikali, TFF na Simba SC juu ya kutumia uwanja wa Mkapa., nafahamu namna msimamizi/mkaguzi wa Viwanja wa CAF wa mwanza (Moustafa) ambaye alikuwa Mmorocco alivyokuwa anataka mechi ikachezwe Zanzbar akiogopa Kwa-Mkapa, nafahamu aliyeletwa pia anatoka Morocco 🇲🇦.
Hapa kuna vita ya Morocco 🇲🇦 Vs Tanzania 🇹🇿, kama una kichwa maji pekee ndio huwezi kujua hii kitu. Ila Morocco mpaka sasa wanasaidiwa na CAF kitu ambacho ni hatari sana."
BİN KAZUMARI MTIPA (The voice of the voiceless)
Dah😁😁😁 haya asante sana .. Subiri sasa tutengeneze colabo tutoe singo yetu💪🏿🙏🏿😂Wewe na huyo Kazumari hamna tofauti na Wassira wa ccm😂😂