Rasmi CAF yatoa maelekezo kwa broadcasting wote kuhusu mabadiliko ya Uwanja

Game ni Simba sc vs Rs berkane na sio Tanzania na Morocco acha kupandikiza chili
 
Viongozi wa Simba watoke hadharani na kuwaambia Watanzania kuwa Simba ilisha uchagua uwanja wa Amani kama uwanja wake wa pili kama ita tokea sintofahamu yoyote.
Kwa mujibu wa taratibu za CAF Kila timu lazima iwe na mapendekezo ya viwanja viwili vya nyumbani.
Kwaiyo CAF hawaja Fanya hujuma yoyote kuwa peleka Simba New Aman stadium kwakua upo kwenye mapendekezo yao ya awali.

Pia CAF walishatoa angalizo kwa ZFA juu ya uwanja wa Amani kuto bebeshwa michezo mingi hali iliyo pelekea ata michuano ya Muungano kupelekwa Pemba.

Kama ingetokea na Aman stadium kuharibika kabla ya mechi ya fainali ya pili basi Simba wangetakiwa kutafuta uwanja nje ya Tanzania.

Ule wa Azam, Simba awataki ata ku ku usikia kwamadai wakicheza pale Matokeo ni magumu kwa upande wao richa ya uwanja wa Azam kuwa na Certificate/ hati ya vigezo kwa matumizi ya mechi zote za CAF.
 
Vipi game ya al masry uliuonaje uwanja?
 
Kuna uhun unafanywa na mamlaka za mpira zikishiriana na Simba na Yanga kutuibia sisi mashabiki pesa zetu!

Ni muda muafuka mashabiki tuache uzwazwa tuungane tufungue case ya madai
Naona aibu kusema Watanzania akili ndogo mno.
 
Simba anaimalizia Fainali Morocco kwa taarifa yako....Yaani anabeba Ubingwa huko huko Morocco..

Hilo ndio jambo linalotakiwa, nyumbani huku game iwe ni ya kukamilisha ratiba...
 
Unaandika ujinga halafu unajipa cheo cha voice of voiceless???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…