Rasmi CAF yatoa maelekezo kwa broadcasting wote kuhusu mabadiliko ya Uwanja

Ukweli usemwe tu siyo kwa ushabiki kwa mkapa ikinyesha mvua uwanja huo ni mbovu kuliko kawaida

Zanzibar kipo vzr hata kama mvua inanyesha
 
Basiiiiiiiiiii,makolooo wanaliwaa mbele na nyumaa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.Hili jamboo linanipa rahaa kinoomaa maana Kalia anaumia afu Hana Cha kuwasaidia makolooo familia.
 
Ubaya Ubwela. Mnavyowaonea UTO kupitia kwa Bodi ya Ligi na TFF na KARIA wenu.
KARMA hiyo.
KAMAA TUDINU TUDANI.
KIPIMO UTAKACHOPIMA NDICHO UTAKACHOPIMIWA
 
Wewe na huyo Kazumari hamna tofauti na Wassira wa ccm๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wewe na huyo Kazumari hamna tofauti na Wassira wa ccm๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Dah๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ haya asante sana .. Subiri sasa tutengeneze colabo tutoe singo yetu๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ