Rasmi Dar yakumbwa na uhaba wa Maji, RC Makalla athibitisha uwepo wa Mgao

Rasmi Dar yakumbwa na uhaba wa Maji, RC Makalla athibitisha uwepo wa Mgao

Kuacha kuamini akili na kurely kwenye kupiga ramli na uganga wa kienyeji ndio huleta hizi shida.

Mvua iliponyesha mlifanya nini kuhakikisha isiponyesha hakuna tatizo la maji?.

Mwenyezi Mungu ametupa maarifa tuyatumie na kumfanya mwanadamu kuwa kiumbe bora kwa kumpa akili. Kutotumia akili kunusuru maisha ya watu na kuwafanya watu waishi maisha mazuri na kuwa viumbe bora kama kusudio la Mungu lilivyo inaweza kuwa dhambi kubwa pia.
 
... habari ya ukame na mvua kuwa chache ni suala la toka enzi za ujima hadi leo. Miaka 60 baada ya uhuru ni stori zile zile za toka enzi za Nyerere hakuna mabadiliko.
 
Ukiwa na mikono iliyopooza kila unachoshika kunapooza.
Ukame tulikuwa tumesha usahau. Mgao wa maji na umeme vilitoweka.
Sasa ameingia mwenye mikono yake iliuojaa mapooza

Kwa hiyo kiparq anatakiwa kupelekwa kwa mwamposa kuombewa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dawasa lazima walaumiwe tu haiwezekani wasiwe na mechanism ya kuhifadhi maji yanayopatikana wakati wa mvua ili yatumike wakati wa upungufu wa mvua kama kipindi hiki, yaani mpk leo tunategemea mvua itujazie maji!!?
... Dawasa utawaonea bure; hili ni la ngazi ya wizara husika (serikali).
 
RC Makalla amesema wakazi wa Jiji la DSM watumie Maji kwa uangalifu mkubwa kwani uzalishaji umepungua huko Ruvu ambako wanazalisha 64% tu

Makalla amesema uhaba huo imesababishwa na mvua kuwa chache hivyo Dawasa wasilaumiwe kwa chochote

Source ITV habari
Hajasema haya pia??
20221025_204853.jpg
 
Makalla amesema uhaba huo imesababishwa na mvua kuwa chache hivyo Dawasa wasilaumiwe kwa chochote
Kwa hiyo anataka kutuambia tumlaumu nani? Mungu au Mvua?

Hivi kweli inawezekana vipi kwa jiji la Dar es Salaam na Pwani vitegemee maji yanayotiririka kwenda baharini. Wasituletee masihara hawa.

Bwawa la Kidunda limeimbwa siku zote. Lingejengwa bwawa kubwa kamwe kusingekuwa na tatizo la maji kwa mji wa Dar na majirani zake.
 
It is time for our utilities bodies (DAWASA) to provide quality services and not quantity services to avoid what is happening now.
 
Back
Top Bottom