ofisa
JF-Expert Member
- May 15, 2011
- 4,340
- 4,069
Kigamboni hata sielewi,mwaka 1970 wakati tiper inajengwa walipitisha maji safi na yakafika hadi kota za pikori.
Mwaka 2019 kabla ya marehemu walianza kuuleta mitaani,leo umesimama eti DAWASA ina dai hakuna wateja wa maji,yaani walio pata wamepata,walio kosa ndio wamekosa.
Lakini ni zaidi ya miaka 40 toka mfumo huo wa maji safi uwekwe.