Rasmi Dar yakumbwa na uhaba wa Maji, RC Makalla athibitisha uwepo wa Mgao

Kigamboni hata sielewi,mwaka 1970 wakati tiper inajengwa walipitisha maji safi na yakafika hadi kota za pikori.
Mwaka 2019 kabla ya marehemu walianza kuuleta mitaani,leo umesimama eti DAWASA ina dai hakuna wateja wa maji,yaani walio pata wamepata,walio kosa ndio wamekosa.
Lakini ni zaidi ya miaka 40 toka mfumo huo wa maji safi uwekwe.
 
Umeandika nilichotaka kuandika. Yani ni jambo ambalo linatokea kila mwaka lakini hawana solution. TZ ndio maana mtu yeyote anaweza kuwa kiongozi kwa sababu haleti solution atakwambia tu hii shida sababu yake ni hii jambo ambalo kila mtu anaweza kusema
 
Na inasikitisha zaidi kuona viongozi wanalizungumzia hilo la maji kuwa shida utadhani ni jambo la kawaida sana. Yani ni jambo lisilowapa shida kabisa.
 
Tumekuwa na viongozi wenye umaridadi mkubwa sana wa kuziainisha changamoto, ukija kwenye kutoa njia ya kuzitatua hizo changamoto ni sifuri.

Miaka nenda rudi wamekuwa wakiainisha changamoto hii hii, waulize sasa ni nini wamefanya kuimaliza.

Kazi ni kuainisha changamoto na kuingia kwenye magari ya kifahari na kuondoka.
 
Rufiji maji hayakauki wayatoe huko wayalete mbona gesi wameitoa Mtwara kuja Dar!
 
Kwenye ishu kama hizi za kukosoa sera mbovu za cc huwezi kuwaona wale umbwa tahilso uvcc ama vile vyama vibaraka vya kijani.

Maji yana mwagika kila siku kwenda baharini huko rufiji..wameshindwa kujenga bwawa la kuhifadhi maji ya mto ruvu 60 yrs mnakaa kutegemea mvua.

Matatizo ya nchii hii ni sera mbovu za ccm hilo halina ubishi.

Hata ukame huu ni laana kutokana na uongozi mbovu wa ccm.

#MaendeleoHayanaChama
 
Good idea mkuu
 
Kwa hiyo kaishia hapo.
Hawajali kwa sababu wanajua Rais hawezi kufanya kitu.
Maisha yangu yote sitakuja kumsahau JPM .....kwa hakika Makala angeshatumbuliwa asubuhi tu..hayuko serious...
Jpm baba
 
Tumeshindwa kabisa kuwekeza kwenye water treatment recycling center, hiyo ndio solution

Ina save maji sababu ni renewable
Maji taka tote ya mvua yote yanasombwa yanasafishwa yanarudi kwa matumizi
yakawaida

Nchi zote zilizoendelea zian hizo system, hayo mambo ya mvua sijui ukame mambo ni aibu tuu kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…