Rasmi Dar yakumbwa na uhaba wa Maji, RC Makalla athibitisha uwepo wa Mgao

Kulikuwa na mgao alafu anaidhinisha mgao zaidi
Inasikitisha sana, Tanganyika tuna mito,bahari, maziwa, chemchem,mabwawa,visima vya kuchimba mita chachee tu
Ila bado maji ni ya mgao hata kipindi Cha masika
Sijui inchi za jangwani wao wasemeje!!😂
 
Yaani kiongozi wa serikali leo hii mwaka 2022 anasimama mvele
Yaani kiongozi wa serikali leo hii mwaka 2022 anasimama mbele ya watu na kusema kuna mgao sababu hakuna mvua, ni jinsi taifa hili lilivyo na watu wasio na akili. Ni reflection ya wananchi wengi akiwemo rais wao... haya makali ya hizi huduma ni kwa nini kuna kipindi ilikua nafuu sana licha ya mvua kutokuwapo???
Nakumbuka misemo ya
1. KUNA WATU WANAFUNGULIA MABOMBA MABWAWA USIKU MAJI YATOKE...
2. Luna tetesi ilisemekana nchivina njaa mwamba akakataa na kusema acheni upuuzi nchi haina njaa, kweli maisha yakaendelea bila hilo ianga la njaa...
2. Nakumbuka watu walisema kuna ugonjwa wa ZIKA mwamba akasema acheni ujinga hamna hicho kitu, akawa sahihi...
Hivyo kwa haya yanayotokea ni UDHAIFU wa mamlaka ya juu... migao ya huduma nyeti ni udhaifu wake...
 
Hakuna cha ajabu hapo,maji ni tatizo kila sehemu Kwa sasa kutokana na Ukame.
Akili za kiboya... uneaminishwa na umekubali... bahari zipo, maziwa yapo, badobumekoaa na kukinga maji ya mvua... hili taifa asilimia kubwa akili zimelaamiwa...
 
Enzi ya JPM kulikuwa hakuna shida ya maji Dar es salaam? Au ngekuwepo yeye angefanya maji yaongezeke mto Ruvu ili uzalishaji upande toka 64% hadi 100%?
Ukishikiwa akili ni tatizo... wewe umeshikiwa au ni mnufaika wa hii migao...
 
Akili za kiboya... uneaminishwa na umekubali... bahari zipo, maziwa yapo, badobumekoaa na kukinga maji ya mvua... hili taifa asilimia kubwa akili zimelaamiwa...
Boya ni baba yako..

Wapelekee maji na huku waache kufa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221026-154255.png
    121.4 KB · Views: 4
Ukraine mabomu yanapotea kupiga raia wasio na hatia,moja si lipotee njia lielekee DDM huku
 
Ngoja waje wanadarisalama kujieleza hapa
 
Ni ushauri tu

Mitaa ya kariakoo hali ni tete Hewa nzito Sana

Kadhalika kukojoa kichakani faini ni tsh 50,000

Mungu wa mbinguni atulinde
Ni ushauri tu

Mitaa ya kariakoo hali ni tete Hewa nzito Sana

Kadhalika kukojoa kichakani faini ni tsh 50,000

Mungu wa mbinguni atulinde
Jo naona tungeshauri mto uliokaribu zaidi ungetengenezewa njia upitie city center ili tufanye Kama wenzetu wa vijijini,unachukua kindooo unaenda kujichotea mwenyewe mtoni🏃🏃
 
Jo naona tungeshauri mto uliokaribu zaidi ungetengenezewa njia upitie city center ili tufanye Kama wenzetu wa vijijini,unachukua kindooo unaenda kujichotea mwenyewe mtoni🏃🏃
Kwa viongozi wapi na nchi ipi yenye chama kipi??🤣🤣🤣🤣 Yule mnyiramba ndio awaze hiki au Yule September??
 
Vipi hiyo taabu inawapata wanachama wa chadema pekee yake au hata wana ccm nao wamekosa maji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…