Rasmi: I want to Say Good bye to All JF people

Ni suala la muda tu nakuhakikishia utarudi tu humu. Hapa ni nyumbani utapakumbuka na itarudi tu
 
Wenye waume mbona humu wapo? Au umepewa sharti kwamba ili ndoa iendelee basi lazima u-left JF?
 
singo maza kapata jitu lake basi anaona jf ni mavi😂😂😂😂 kwahyo ulikua unataka bwana wa kulea vipanya vyako umempata basi unajiona mtu🤣🤣🤣

staki makasiriko
 
singo maza kapata jitu lake basi anaona jf ni mavi😂😂😂😂 kwahyo ulikua unataka bwana wa kulea vipanya vyako umempata basi unajiona mtu🤣🤣🤣

staki makasiriko
Mie sina mtoto nipo single halafu sitaki makasiriko
 
Usiache mbachao kwa msala upitao
 
Wenye waume mbona humu wapo? Au umepewa sharti kwamba ili ndoa iendelee basi lazima u-left JF?
Wanafanya nini maana ukiwa double humu lazima waage mashindano maana humu wengi wanadhani unatafta na hii sio sawa
 
Hongera Sana. No kweli wanaume hatupendi wanawake walio busy kuchat na simu.
 
Mkuu kabla hujaondoka nitumie namba ya yule mzee wa Korogwe.
 
Usiwe tu FEMINIST KWAKE.
 
hongera japo hakuna jipya chin ya Jua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…