Rasmi: I want to Say Good bye to All JF people

Nilikupenda sana , ila sawa labda na mimi tapata mwenza
 
Kwahiyo jf ni kwajil ya Singo mazaz na majobless?
Punguza matusi hapa utarudi tu kutuomba ushauri. Kila lakheli.
 
Mumeo atakuwa daktari wa mental hospital 🀣🀣
 
Nilikupenda sana , ila sawa labda na mimi tapata mwenza
Sina uwezo wakipesa utakwama utaniomba na.nitakuwa sina nahutopendezwa nayo ni bora umtafute mtu ambaye anajiweza kimaslahi .
Mie naenda kuwa mama toto basi nalea famili nyota yangu ilimalizika zamani sana ilichukuliwa sijui imeenda wapi nimejaribu kila kitu hakiendi sasa inabidi nitulie tu na huyu akiwa nacho sawa . Nyie humu mnataka mkikwama mtu awepo mie nitakupa nini sasa
 
Ni suala la muda tu, we nenda ila utatukuta tu hapahapa jamvini,,
 
Wewe nime tunda hayo ya kukuhudumia juu yangu dear
 
Enjoy the marriage.
Mungu akupe baraka tele,Mheshimu na kumtii Mumeo.
 
Kwani jamaa ashaonja mbususu akaridhika nayo?
Usije kurudi na ID mpya humu ukiwaita wanaume mbwa!πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…