Rasmi: Kisinda ruksa kuichezea Yanga

Kwahiyo utaratibu wakuingiza mchezaji acheze NBC ni muda wowote hata dirisha linapofungwa?. Kama kisinda anaonesha hajasajiliwa ndani ya muda hiyo nguvu yakupokea uhamisho wa kambole na ku-mreplace na kisinda wameitoa wapi?

Mkuu Uwe unaelewa na Hili ndio Litawa cost kwenyw Taratibu za CAF kuhisi kila Kitu mnaonewa
 
Hivi timu haiwezi kumuacha mchezaji na kumsajili mwingine paka mchezaji aliyeachwa apate timu nyingine??? Hii imekaaje wataalamu

Kumbuka Yanga Walikuwa wana Ipa Pressure TFF ya Kutaka Kumruhusu Kisinda Acheze wakati kambole Tayari alikuwa na ICT ya Kucheza Tanzania na TFF ndio Ilikuwa Msimamizi wake, Kama TFF ingekubali Pressure ya YANGA bila Kumzingatia Kambole, Basi Kambole Angeweza Kushtaki Fifa Kwa Kufanyiwa Hujuma
 
Mkuu Uwe unaelewa na Hili ndio Litawa cost kwenyw Taratibu za CAF kuhisi kila Kitu mnaonewa
Ni ujinga wa Tff Wala hamna la maana. Sasa kama kisinda hakusajiliwa km mchezaji wa ndani ni kanuni ipi imewapa nguvu ya kumruhusu? Hata kama yanga wameachana na kambole kwani dirisha lipo wazi ?
 
Tff hawakuishauri yanga bali waliwatisha na kuonesha swala hilo haliwezekani tofaut na hivyo wasingeiposti ile barua yao ya kupuuzi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tifuatifua mwisho wameamua kusalim amri!!!.

Karia na Tff yake ni wapumbavu na wasio na maono ya mpira!!. Aibu yaoooooo
Huna akili hata ya kadadafua mambo, ndo maana tunajikuta tunajibu tofauti sababu ya kushindwa kuelewa kilichoandikwa au kukurupuka kuchangia mada au kutomaliza kusoma andiko au habari flani,soma tena halafu rudi uandike upya
 
Ni ujinga wa Tff Wala hamna la maana. Sasa kama kisinda hakusajiliwa km mchezaji wa ndani ni kanuni ipi imewapa nguvu ya kumruhusu? Hata kama yanga wameachana na kambole kwani dirisha lipo wazi ?

Unaweza kufanya Makubaliano Binafsi na Mchezaji na Mkafikia Terms zote za mikataba, Linapo Kuja Suala La Kuanza Kumtafutia Vibari huwa ni Jambo Jingine.

Wachezaji Wengi Hutangazwa Kusajiriwa kabla hata ya Vibari toka TFF havijatoka na Baada ya Hapo Huanza Kuwaombea Vibari ndio Maana Mchezajo anaweza kutangazwa public lakini Asicheze.

Yanga Ilimtangaza Kisinda Kabla hata Vibari Toka TFF havijatoka wakiwa na wazo La Kuja Kuachana na Mchezaji Mmoja. Baada ya Kuanza Kuomba Vibari ndio Changamoto hiyo ikatokea.
 
Haya wale wachambuzi uchwara njooni hapa tuchambue
Kuna lile jinga lenye upara sijui Binti Jem ebu kama kuna mtu mwenye CV yake atuwekee hapa.

Nadhani hata darasa la 12 hajafika!
 
Tff hawakuishauri yanga bali waliwatisha na kuonesha swala hilo haliwezekani tofaut na hivyo wasingeiposti ile barua yao ya kupuuzi

Simba Ilimsajiri Phiri Muda Mrefu Lakini kwa Kuheshimu Taratibu za TFF walisubiri na Leo PHIRI anacheza Simba
 
mois
Moisemusajiografii Bwana Utam mzabzab Utingo brazaj mkwepu jr bagamoyo mjingamimi Mzee Wa Kazi Chafu Mshana Jr The unpaid Seller
 
MamaSamia2025 Soma Tena Nzie ya Mana
 
Mkuu acha uongo Itc ya kisinda ilifika kabla ya kutangazwa na TFF ndo waoshiriki kuomba Itc sasa unataka kutuambia TFF waliomba Itc wakiwa hawajui nini kinaendelea?
 
KICHEFUCHEFU ni genge la WAHUNI waliojificha kwenye kuongoza Soka la Bongo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…