Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
Onyango Tabu Ipo Pale Pale [emoji28][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo utaratibu wakuingiza mchezaji acheze NBC ni muda wowote hata dirisha linapofungwa?. Kama kisinda anaonesha hajasajiliwa ndani ya muda hiyo nguvu yakupokea uhamisho wa kambole na ku-mreplace na kisinda wameitoa wapi?
Hivi timu haiwezi kumuacha mchezaji na kumsajili mwingine paka mchezaji aliyeachwa apate timu nyingine??? Hii imekaaje wataalamu
Ulitakaje.?
Ni ujinga wa Tff Wala hamna la maana. Sasa kama kisinda hakusajiliwa km mchezaji wa ndani ni kanuni ipi imewapa nguvu ya kumruhusu? Hata kama yanga wameachana na kambole kwani dirisha lipo wazi ?Mkuu Uwe unaelewa na Hili ndio Litawa cost kwenyw Taratibu za CAF kuhisi kila Kitu mnaonewa
Tff hawakuishauri yanga bali waliwatisha na kuonesha swala hilo haliwezekani tofaut na hivyo wasingeiposti ile barua yao ya kupuuziKambole Alikuwa Hajapata Timu, Kitu kilicho Fanya Yanga Kuendelea Kusomeka Kuwa na Wachezaji 12 wa Kigeni. Na Mwanzo Yanga Hawakuwa katika Mpango wa Kuachana Na Kambole. Mpango wa Kuachana na Kambole Umekuja Baada Ya TFF kuwashauri kuwa Waachane na Mchezaji Mmoja Ndio Yanga Wakaona Wamtoe Kafala Kambole. TFF isingeweza Kubariki Uhamisho wa Kisinda wakati KAMBOLE HAJAPATA timu.
Huna akili hata ya kadadafua mambo, ndo maana tunajikuta tunajibu tofauti sababu ya kushindwa kuelewa kilichoandikwa au kukurupuka kuchangia mada au kutomaliza kusoma andiko au habari flani,soma tena halafu rudi uandike upya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tifuatifua mwisho wameamua kusalim amri!!!.
Karia na Tff yake ni wapumbavu na wasio na maono ya mpira!!. Aibu yaoooooo
Ni ujinga wa Tff Wala hamna la maana. Sasa kama kisinda hakusajiliwa km mchezaji wa ndani ni kanuni ipi imewapa nguvu ya kumruhusu? Hata kama yanga wameachana na kambole kwani dirisha lipo wazi ?
Kuna lile jinga lenye upara sijui Binti Jem ebu kama kuna mtu mwenye CV yake atuwekee hapa.Haya wale wachambuzi uchwara njooni hapa tuchambue
Tff hawakuishauri yanga bali waliwatisha na kuonesha swala hilo haliwezekani tofaut na hivyo wasingeiposti ile barua yao ya kupuuzi
Moisemusajiografii Bwana Utam mzabzab Utingo brazaj mkwepu jr bagamoyo mjingamimi Mzee Wa Kazi Chafu Mshana Jr The unpaid SellerKamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imepitisha usajili wa Twisila Kisinda kuichezea Yanga baada ya klabu hiyo kumuhamisha mchezaji wake wa kigeni Lazarous Kambole.
Awali Kamati hiyo ilizuia usajili wa Kisinda licha ya kuwa ulifanyika ndani ya dirisha la usajili kwa vile tayari Yanga ilikuwa na wachezaji 12 wa kigeni.
Licha ya changamoto hiyo, pia Kisinda aliombewa Hati ya Uhamisho wa Kimataifa (ITC) ambayo tayari imepatikana.
Hivyo kwa kumuhamisha Kambole imepata nafasi ya kumsajili Kisinda kama ilivyokuwa imeshauriwa huko nyuma. Kwa mujibu wa Kanuni ya 62(1) ya Ligi Kuu Toleo la 2022, klabu inaruhusiwa kusajili wachezaji wa kigeni wasiozidi 12.
Kambole amejiunga na timu ya Wakiso Giants inayocheza Ligi Kuu ya Uganda, na tayari TFF imetoa ITC.
View attachment 2358005
MamaSamia2025 Soma Tena Nzie ya ManaKamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imepitisha usajili wa Twisila Kisinda kuichezea Yanga baada ya klabu hiyo kumuhamisha mchezaji wake wa kigeni Lazarous Kambole.
Awali Kamati hiyo ilizuia usajili wa Kisinda licha ya kuwa ulifanyika ndani ya dirisha la usajili kwa vile tayari Yanga ilikuwa na wachezaji 12 wa kigeni.
Licha ya changamoto hiyo, pia Kisinda aliombewa Hati ya Uhamisho wa Kimataifa (ITC) ambayo tayari imepatikana.
Hivyo kwa kumuhamisha Kambole imepata nafasi ya kumsajili Kisinda kama ilivyokuwa imeshauriwa huko nyuma. Kwa mujibu wa Kanuni ya 62(1) ya Ligi Kuu Toleo la 2022, klabu inaruhusiwa kusajili wachezaji wa kigeni wasiozidi 12.
Kambole amejiunga na timu ya Wakiso Giants inayocheza Ligi Kuu ya Uganda, na tayari TFF imetoa ITC.
View attachment 2358005
Nikatae hayo ya shirikisho mimi ni nani?Ila timu ya taifa ya Congo ataisikia redioni tu.😂😂😂😂
Mkuu acha uongo Itc ya kisinda ilifika kabla ya kutangazwa na TFF ndo waoshiriki kuomba Itc sasa unataka kutuambia TFF waliomba Itc wakiwa hawajui nini kinaendelea?Unaweza kufanya Makubaliano Binafsi na Mchezaji na Mkafikia Terms zote za mikataba, Linapo Kuja Suala La Kuanza Kumtafutia Vibari huwa ni Jambo Jingine.
Wachezaji Wengi Hutangazwa Kusajiriwa kabla hata ya Vibari toka TFF havijatoka na Baada ya Hapo Huanza Kuwaombea Vibari ndio Maana Mchezajo anaweza kutangazwa public lakini Asicheze.
Yanga Ilimtangaza Kisinda Kabla hata Vibari Toka TFF havijatoka wakiwa na wazo La Kuja Kuachana na Mchezaji Mmoja. Baada ya Kuanza Kuomba Vibari ndio Changamoto hiyo ikatokea.
wewe ndo mkweli?Mkuu acha uongo Itc ya kisinda ilifika kabla ya kutangazwa na TFF ndo waoshiriki kuomba Itc sasa unataka kutuambia TFF waliomba Itc wakiwa hawajui nini kinaendelea?
Wanaua vipaji vya ndani