PreGE2025 Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
alewakuza ashadead mjipange upya fujo haziwasaidii
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi

#NoReformsNoElection
 
Najiuliza kua wakifanya hayo ambayo hao waliofungua kesi najua wametumwa ama kuhongwa , ndio watawafanya watanzania wanaotaka reforms wajiunge ccm ama kuwapigia kura ama kuwapenda?
 
kipindi wakina lema wanashinda ubunge hawakuhoji mfumo wa uchaguzi na mchakato wa katiba mpya ulioanzishwa na JK walisema usubiri kwanza, leo mpo nje ya bunge ndo mada kama izi znazuka, au sio? mnaona watz hawana akili eeh
 
Mnapoteza muda kutumia njia za kidemokrasia kuiondoa ccm madarakani. Njia ipo moja tu na nadhani kila mtu anaijua.

"Njia pekee ambayo Wananchi wataitumia katika kuzungumza au kujadiliana na Watawala wao ambao ni Madikteta ili kufikia muafaka wenye maslahi kwa pande zote mbili ni kwa kupitia mtutu wa bunduki.*
Jeffs O'Brien.
 
Serikali imechelewa! Kama ni kuokoa nyumba iliyoshika moto imechelewa!
Agenda ya No Reform No Election imeshika kasi nchi nzima.
Uelewa wa Wananchi umeongezeka kuliko ilivyofikiriwa.
Harafu naona mkakati wa kuitumia CHAUMA kuisambarasha CDM umefeli.
 
Wapigwe nduli chademaaaa...... (Tuitikie kwa pamoja) Wapigweee!
Kwa nini wasiifute kabisa hiyo CHADEMA na kubakiza CCM peke yake?

Adolf Hitler alifuta vyama vyote vya upinzani, CCM mbona mnakuwa waoga?

Hebu futeni vyama vyote vya upinzani mtawale kwa raha.
 
Dikteta Samia ameamua kubaki madarakani kwa kutumia Mihimili yote ya dola anayoimiliki
 
kipindi wakina lema wanashinda ubunge hawakuhoji mfumo wa uchaguzi na mchakato wa katiba mpya ulioanzishwa na JK walisema usubiri kwanza, leo mpo nje ya bunge ndo mada kama izi znazuka, au sio? mnaona watz hawana akili eeh
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi

#NoReformsNoElection
 
Tunatokaje kwenye Mkwamo huu wa mahakama

Huyu Jaji kuna siku atatoa ushuhuda wa hukumu hii
 
Maana yake ni kwamba CHADEMA ni kina nani? Maana kama waleta maombi wanasema wao ni CHADEMA ila wanataka chama chao kizuiwe kufanya siasa, inaeleweka kweli hii?
Kuisimamisha taasisi Kama Chadema isifanye shughuli Zake- Ni Kama vile taasisi ya serikali - polisi wazuiliwe kufanya kazi maana wameshindwa kuwabaini wasiojulikana.
Haya maamuzi ni ya kipumbavu sana na aliyeyatoa ni Bumunda la nguvu.
 
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi

#NoReformsNoElection
 
jifunze kuheshimu matokeo ya uchaguzi watu 20k mkisema ndio watu mil 1 wakasema hapana we heshimu hao mil 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…