PreGE2025 Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Vizuri sana, hao nyumbu walifikiri wana serikali yao ndani ya serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania, km wao ni wanaume wapande jukwaani. Chadema ya kina Heche ni mapumbavu hayana ht akili ya kuazima, mtu muda wote ni mapovu mdomoni, angemshukuru Samia maana asingekanyaga hii nchi achilia mbali kufanya siasa. Haya sasa wale members wa huku mtandaoni andamaneni sasa.
 
Reactions: UCD
Yaani upewe tu karatasi utiki eti ndio unachagua kiongozi..aaa wapi..
 
Mahakama imeonyesha ni kea nmna gani inatumiwa na Serekali na CCM kuihujumu CHADEMA. Hilinni pigo kubwa kwa wapenda mabadiliko. Hii kesi haitaisha mpaka uchaguzi mkuu upite.
Ccm/serekali 5-0 Chadema.

NoReformNoElection
Hayo ni kwa mujibu wa Nzee ya Gombe moja ya waasisi wa huu Uhiniii.
 
Watashindana lakini hawatashinda kwamwe,Jaji anatoa uamuzi siku ya kwanza wakati kesi ya Lissu inaahirishwa hovyo,Majaji wa mchongo hawa
Mlaumu babako kutokwenda shule pengine asingekuwa wa mchongo, wapumbavu km nyie kwl ndio mmeshinde.
 
Ukombozi umekaribia, haya yote hayana budi kutokea
 
CCM hamtafika popote, jitekenyeni wenyewe afu mnacheka wenyewe.
Utawala wenu na washirika wenu aka machawa umeshakataliwa na Muumba
Ngiri tu wewe, hv uvunje sheria uachwe? Hilo dubwasha ni la kufuta kabisa. Ni kikundi cha kigaidi.
 
Reactions: UCD
Huu utawala wa kishetwaini utashindwa tu.
 
Reactions: UCD
Pumzi imewaishia hawana namna lazima plan b itumike, plan a imefeli kitambo baada ya kuona jamaa hata wasanii hawana lkn hilo nyomi lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…