PreGE2025 Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Serikali ya CCM inajipalia makaa tena ya mawe!!

Hii kitu waondoe mara moja.
 
Reactions: UCD
We
Waislamu sikuzote utumika kipumbavu .....😁😁 ni hatari nchi kuongozwa na waislamu hakuna tofauti kubwa baina ya muislamu na mwanamke kwenye mambo ya uongozi ....siku zote wanawake na waislamu huwa awana uzalendo
We mavi udini hautakusaidia, we msukule acha chokochoko ambazo hujui mwisho wake. Mbwa koko km wewe km siasa huiwezi katafute shughuli nyingine ya kufanya.
 
Waislamu sikuzote utumika kipumbavu .....😁😁 ni hatari nchi kuongozwa na waislamu hakuna tofauti kubwa baina ya muislamu na mwanamke kwenye mambo ya uongozi ....siku zote wanawake na waislamu huwa awana uzalendo
Nasikia wanawake wa kiislamu kazi yao kubwa ni kufungia ndani kama kuku na kusuguliwa mpaka waseme basi! Hawawezi uongozi!
 
Serikali ya CCM inajipalia makaa tena ya mawe!!

Hii kitu waondoe mara moja.
Kenge hadi ubongo uvujie nje ya fuvu ukiambatana na kimiminika chekundu ndio masikio yazibuke.
 
Watashindana lakini hawatashinda kwamwe,Jaji anatoa uamuzi siku ya kwanza wakati kesi ya Lissu inaahirishwa hovyo,Majaji wa mchongo hawa
Kuna tofauti ya kesi ya jinai na madai. Mlaumu wakili wenu kwa kujitoa hivyo kesi kusikilizwa upande mmoja.Na kwenye kesi za madai hayo ni mambo ya kawaida.
 
Mkuu, sasa ikitokea wananchi wa upande mmoja wakawashitaki wananchi wengine wa upande mwingine kwa kupunjwa mgao wa rasilimali zao itakuwaje, dola nalo litazuiwa kufanya shughuli zake mpaka kesi ya msingi iishe?

Mtu akitokea akaishitaki CCM utawaona wakija na design nyingine. Samia amepania sana. Tumuachie achukue kwanza ndipo tumkabili.
 
CHADEMA inabagua na hawana uwakilishi wa wanawake katika vyombo vya utendaji.

CHADEMA inabagua upande wa Zanzibar katika ugawaji rasilimali na hata ushirikishwaji.

CHADEMA inaahidi watanzania kuwa ndio chama kitakacholeta umoja wa Taifa!🤔🤔
 
Reactions: Tui
No reform no election.uwakilishi wa kijani ni ule hadi wa ile hongo tamu amaa?
 
Wazenji sio watu wa kuwaamini hata kidogo kuwashirikisha kwenye mambo ya maana hata siku moja watakuaribia tuu, nilikutana nao kwenye shughuli flani hivi ndio nikajua ni watu wenye roho mbaya za kwanini kiasi gani, watakuchoma hata kwa hongo ya kikombe cha kahawa
 
MAHAKAMA YA MAMA hatimaye imeingilia kati, No reforms no election IMETAMALAKI kila mahala.
 
Kwenye maandamano huwa hatukuoni mwamba!
 
Naona chawa mmepata pa kupumzikia sasa maana ilikuwa ni spanner tu...... Na mlivyowapumbavu mnadhani haya maamuzi ambayo purely yamekuwa engineered na CCM yatawasaidieni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…