PreGE2025 Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nashauri tuchague demokrasia inayoendana na uhalisia wa nchi yetu inayotekelezeka

Demokrasia inayotufaa ni demokrasia ya kubadilishana dini na dini au madhehebu kila baada ya miaka kumi hizi habari za vyama tuwaachie marekani wasiokuwa na mihemko ya dini wakajichagulia vyama vyao viwili viwaongoze yani kama ni tz ni Simba na yanga ambazo ni timu pendwa zisizojali udini na ikibidi tuzifanye izo timu mbili kuwa vyama vya siasa tutawin

Ujumbe: tuchague demokrasia inayoendana na uhalisia wa jamii yetu si vyema kuwa wanafiki kwa vitu vinavyojulikana wazi

Ni hayo tu
 
nakuona verified keyboard warrior, ukiwa nyuma ya keyboard una six packs ila ikifika sasa mda wa kwenda front line unajificha kwenye vibanda vya juice ya miwa
Usijipe uhakika wa kwamba unajua kwa machale kila kituo cha polisi kilichowahi kudeal na mimi niliwaachia msiba.

Mimi ninmpangwa mtiifu wa mila na desturi kisawasawa..
 
Unaweza kuwa baba nauna provide Kila hitaji nyumbani lakini kunamambo flani flani ya kipuuzi ukifanya hata watoto wako ulio wazaa mwenyewe wanakudharau.

Aibu sana hii.
 
bundi mweusi aukali kooni uongozi mpya wa chadema mbaya sana, dah!

Jebra kambole na ukambale wake ule katika sheria kasalimu amri mahakamani?
inasikitisha sana inafedhehesha sana aise
Mpeni Jebra ujudge tuone.
 
Unaweza kuwa baba nauna provide Kila hitaji nyumbani lakini kunamambo flani flani ya kipuuzi ukifanya hata watoto wako ulio wazaa mwenyewe wanakudharau.

Aibu sana hii.
Wallah ningekuwa na mzazi chawa kama huyu tusingepatana.
 
Mnapoteza muda kutumia njia za kidemokrasia kuiondoa ccm madarakani. Njia ipo moja tu na nadhani kila mtu anaijua.
LOOooooh!

Mbona hawa wamekwisha lgea kitambo; kweli wewe unafikiri kuna haja tena ya kutumia hiyo njia unayoiwaza wewe?
Hawa akina Samia Suluhu Hassan na Genge lake tayari wapo getini; kupisha waTanzania kuweka wanaowataka wenyewe.
 
CCM inekufa haowanafanyakazi Kwa niaba ya nani
 
Waislamu sikuzote utumika kipumbavu .....😁😁 ni hatari nchi kuongozwa na waislamu hakuna tofauti kubwa baina ya muislamu na mwanamke kwenye mambo ya uongozi ....siku zote wanawake na waislamu huwa awana uzalendo
Wacha kauli za utenganisho hiyo mikutano inajaa wakristo watupu?? Wagomvi wetu ni watawala unafikiri Samia anaamuwa pekeyeke?? Kina Kabudi Mwigulu Lukuvi Nk ni waislaam?? Au Mwaipopo wewe unapitia mlango wa nyuma??
 
Drc mashariki walishaachana na maswala ya vyama vya upinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…