Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaongea tu hawawezi ku sign hiyo agreement kwasbb wanajua madhara yake. Ni hatari kuliko hiyo vita ya Ukurain.Serikali za Marekani, Ufaransa na Uingeleza zimeruhusu silaha zake zitumike ndani ya Urusi, hapo mwanzo zilizuiwa kutumika ila baada ya mashambulizi ya jana kutoka Urusi wameona wairuhusu Ukraine ifanye ionacho ni sawa
Good move from the POTUS but too late.Serikali za Marekani, Ufaransa na Uingeleza zimeruhusu silaha zake zitumike ndani ya Urusi, hapo mwanzo zilizuiwa kutumika ila baada ya mashambulizi ya jana kutoka Urusi wameona wairuhusu Ukraine ifanye ionacho ni sawa
Kwanini?kwa miezi hii miwili aliyobakuwa nayo Bidden labda wanataka kutimiza lengo lao lakumuondoa Putin sababu, wameona ikiwa Trump akiapishwa alafu akafanya negotiation na Putin ili kusitisha vita na ukrein thats means NATO imeshindwa vita na Russia, na ni tusi kwa viongozi wote NATO
Hivi jana Russia alifanya shambulizi kubwa sana?Serikali za Marekani, Ufaransa na Uingeleza zimeruhusu silaha zake zitumike ndani ya Urusi, hapo mwanzo zilizuiwa kutumika ila baada ya mashambulizi ya jana kutoka Urusi wameona wairuhusu Ukraine ifanye ionacho ni sawa
Trump kweli anaweza shauri hili ni mtu jasoriRaha sana kuona Moscow ikichakazwa kwa makombora ya USA 😇😇😇
Kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika huu ushaur Biden kaupata kutoka kwa trump.., trump anaona akina Biden wanademadema sana kiasi ya kuifanya USA kuwa dhaifu mbele ya mataifa korofi kama urusi,..thus why he wants to make America great again
Kwa sababu yeye ameshazeeka na amestaafu ndio anataka awaletee watu wa USA na Dunia vita ya Dunia?Wacha zipigwe, Biden ameshaona hana cha kupoteza tena
Sikuwahi kujua kama Urusi Ina nguvu kubwa namna hii.
hii ume fabricate mwenyewe!Raha sana kuona Moscow ikichakazwa kwa makombora ya USA 😇😇😇
Kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika huu ushaur Biden kaupata kutoka kwa trump.., trump anaona akina Biden wanademadema sana kiasi ya kuifanya USA kuwa dhaifu mbele ya mataifa korofi kama urusi,..thus why he wants to make America great again
Wanasema mashambulizi ya jana ni makubwa tangu vita hiyo ianze.Hivi jana Russia alifanya shambulizi kubwa sana?
Duh basi shambulizi lilikuwa kubwa sana. ila mi tangu mwanzo sikuelewa dhana nzima ya US na washirika kukataza silaha zao kutumika ndani ya UrusiWanasema mashambulizi ya jana ni makubwa tangu vita hiyo ianze.
Kumbuka pia Putin anasaidiwa makombora na wanajeshi kutoka kwa kiduku.
Hivi tunavyoongea wanajeshi wa kiduku wako Urusi tayari kupambana na Ukrain.
Putin ameota mapembe