Sasa mkuu unafikiria kabisa kuwa Ukraine akiishambulia Russia ...then Russia itaishambulia miji ya Marekani?Hakuna lolote, wanachomuruhusu ni kupiga majimbo aliyoyatangaza kuwa nisehemu ya urusi na.sisehemu inayotambulika kimataifa kuwa ni sehemu halali ya Russia. Mbona wakifanya hivyo mbona moto utaibukia marekani, hatakuwa tayari kuona miji yake ikigeuka kuwa Gaza!!!!!!!!.
Hapo Kursk kuna silaha na vyombo vingine kama magari ya Marekani yanatumika au utambui kuwa Kursk ni sehemu ndani ya Russia?
Penda sana kuongea vitu logic ondoa ushabiki.