Mkuu swali lako umeuliza kama vile niko kwenye viunga vya moscow na na headquarter za five eyes, jokes
Najua umeuliza sababu hizi shambulizi simekuja kama ambavyo nilihisi kwenye comment yangu.
Mkuu uwanja wa vita hakutarajiwi mabadiliko makubwa upande wa Ukraine, hii ni a last kick of a dying horse. Sababu
1. Permission imekuwa limited kwa eneo la kursk tu,
2.US bado amekaza kutumika kwa missile za France na UK
3.Germany bado hawajakubali kupeleka kwa Taurus missile, ambayo ndio hatari na range ndefu.
Kama nilivyosema, kwenye comment yangu ya asubuhi, essence ni kuokoa askari wa west kwa kivuli cha mercenaries kabla hawaja surrender maana logistic na supply route zote zimekatwa, na zilizopo zipo chini ya Artillary range za Urusi na drones surveillance, wakijaribu kutoka watakuwa ambushed ndio maana wanaitaji kushambulia hizo artillery na ammo depot ili kunusuru hao askari.
Pia Ukraine akiwatoa hao askari ambao wako kama hostage sumy itakuwa hatarini, na kutoka sumy kwenda kieve ni umbali wa takribani km 335. Hivyo sumy haitakiwi kuanguka hadi january 6, ikianguka maana yake kieve iko hatarini.
Ndio maana Ukraine na west walijua Kursk operation ni risk but hakukuwa na option nyingine
Kwa kukamilisha, hii ruhusa imebase kursk ambao lengo kuhakikisha wanapunguza kasi counter offensive Urusi huko kursk, ku disrupt offensive ya sumy na ku evacuate askari wa Nato na Ukraine.
Tutarajie exchange of missile kwa wiki hizi mbili. Hadi earlier december tutakuwa na majibu