Vita ni vita Urusi anasema atawaonesha hao ambao wana silaha kama zake na nyuklia wanazo pia hvo sion atakachowaonesha zaid ya kujipima uwezo nao namaanisha kila mmoja lazma aathirike na unajua putin ashazeeka ana miaka michache kuishi hvo kwake liwalo na liwe nyie chekeleen kama hzo 💣 hazijafika hadi huku AfricaJawabu la Urusi ni moja tu!
Wanasema tunawasubiri!