Rasmi: Marekani yaruhusu Silaha zake kutumika ndani ya Urusi popote pale

Jawabu la Urusi ni moja tu!

Wanasema tunawasubiri!
Vita ni vita Urusi anasema atawaonesha hao ambao wana silaha kama zake na nyuklia wanazo pia hvo sion atakachowaonesha zaid ya kujipima uwezo nao namaanisha kila mmoja lazma aathirike na unajua putin ashazeeka ana miaka michache kuishi hvo kwake liwalo na liwe nyie chekeleen kama hzo πŸ’£ hazijafika hadi huku Africa
 
Hapo sasa naona harufu ya vita ya magharibi huku china akikaa palee na kama china atashiriki vita yaan namaanisha USA , china ,Russia , na europe waingie vitan ndo vta ya 3 ya dunia itaazia apo, ila kumbuka china s taifa linalopenda vita sana kama hawa russia na usa
 
Wacha ww111 ianze watu tushudie vita.. Sasa tufanyaje hata Africa ikisema acheni ujinga hakuna atakayesikiliza........
Hii ni roadmap to the new world order.... Na ni carefully orchestred kiasi kwamba wengi sana hawajui kuwa hii inaenda kuanzisha mfumo MPYA wa utawala duniani...
 
Kwa akili zako unaona watamtoa Putin iyo miezi miwili?
 
Sisi vidagaa ndio tutakaoumia njanja zote so usiombee.
 
Wanaongea tu hawawezi ku sign hiyo agreement kwasbb wanajua madhara yake. Ni hatari kuliko hiyo vita ya Ukurain.
Sorry kukwambia imeshakuwa signed, lilikuwa ni suala la rais kukubali tu. Na wamefanya hivyo.
Sijui which is which hapa, it okay russia ku attack deep into ukraine, but its not okay for ukraine kufanya the same
 
Waliofundishwa woote watauliwa na vifaa vyoooote vitachakazwa kabla ya kutumika.
 
Serikali za Marekani, Ufaransa na Uingeleza zimeruhusu silaha zake zitumike ndani ya Urusi, hapo mwanzo zilizuiwa kutumika ila baada ya mashambulizi ya jana kutoka Urusi wameona wairuhusu Ukraine ifanye ionacho ni sawa
Naona baiden kaamua kumsukumia trump fupa ajekupambana na lo where...
 
Urusi anapiga Civilian Infrastructures ikiwemo Sub Stations za Umeme na mifumo ya Maji na Gesi za kupikia na kuleta joto.

Na Russia wanajua kabisa fika kuwa Majira ya Baridi ndio yanaingia kwa hiyo lengo lao kuu ni kuwaadhibu Wananchi wa Ukraine πŸ‡ΊπŸ‡¦.

Sasa wakati umefika Ukraine nao watarget Civilian Infrastructures ili angalao na Wananchi wa Urusi nao waonje Baridi kali ya Kisaiberia.
 
Biden kijana sio?
 
Sisi walimu wa Kiswahili tunasema: ulichokiandika ni "Kivumishi hisia"
 
Duh basi shambulizi lilikuwa kubwa sana. ila mi tangu mwanzo sikuelewa dhana nzima ya US na washirika kukataza silaha zao kutumika ndani ya Urusi
Vita vingeisha mapema au pengine athari yake ingekuwa kubwa zaidi kwa dunia, lakini pia hii vita ikiwa na mwezi mmoja au miwili, NATO walitoa tangazo kwamba wataisaidia Ukraine ili kuipunguza nguvu Russia na kuifanya vita ichukue muda mrefu zaidi.
 
Hakuna chochote kitakacho badilika kwenye uwanja wa vita.
Kwani ndege za F 15 ambazo Zere alikuwa anaziomba kila siku zilipo pelekwa zimebadilisha nn?
Watu wanajitia uchizi Ukrain kupewa makombora yanayofika kilomita 300 itamsaidia kwa kiasi kidogo sana..
Urusi bado itaweza kujilinda vizuri maana hayo makombora kwa masafa ya kilometa 300 mfano yakifyatuliwa hapa Dar hayawezi kufika hata Iringa.
 
Wacha zipigwe, Biden ameshaona hana cha kupoteza tena
Hakuna lolote, wanachomuruhusu ni kupiga majimbo aliyoyatangaza kuwa nisehemu ya urusi na.sisehemu inayotambulika kimataifa kuwa ni sehemu halali ya Russia. Mbona wakifanya hivyo mbona moto utaibukia marekani, hatakuwa tayari kuona miji yake ikigeuka kuwa Gaza!!!!!!!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…