Sasa mkuu unafikiria kabisa kuwa Ukraine akiishambulia Russia ...then Russia itaishambulia miji ya Marekani?Hakuna lolote, wanachomuruhusu ni kupiga majimbo aliyoyatangaza kuwa nisehemu ya urusi na.sisehemu inayotambulika kimataifa kuwa ni sehemu halali ya Russia. Mbona wakifanya hivyo mbona moto utaibukia marekani, hatakuwa tayari kuona miji yake ikigeuka kuwa Gaza!!!!!!!!.
Nafuu umemjibu. Mtu analazimisha mitazamo yake hafifu na upeo mwembamba Kwa watu wenye akili kubwaSasa mkuu unafikiria kabisa kuwa Ukraine akiishambulia Russia ...then Russia itaishambulia miji ya Marekani?
Hapo Kursk kuna silaha na vyombo vingine kama magari ya Marekani yanatumika au utambui kuwa Kursk ni sehemu ndani ya Russia?
Penda sana kuongea vitu logic ondoa ushabiki.
Iseeeee!!!!!! ungejuwa ukisemacho kama wanavyokijuwa unaowasemea wala usingesema. Trump ananini cha kutisha au Trump Kawa kombora? Ise, basi bwana tumekuelewa nakikosa alichonacho USA halafu RUSSIA asiwe nacho watakacho matisha nacho, vita ni sehemu ya maisha ya Warusi.Raha sana kuona Moscow ikichakazwa kwa makombora ya USA [emoji56][emoji56][emoji56]
Kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika huu ushaur Biden kaupata kutoka kwa trump.., trump anaona akina Biden wanademadema sana kiasi ya kuifanya USA kuwa dhaifu mbele ya mataifa korofi kama urusi,..thus why he wants to make America great again
Baba isaya agaliya ramani ya Russia na ya USA jumlisha na EU. Utajuwa nani ananafasi nzuri.Kipindi hicho na wao watakuwa hawana hyo Nuclear ama??
Ukraine akifanya hivyo athari itakayotokea haitapimika.Sorry kukwambia imeshakuwa signed, lilikuwa ni suala la rais kukubali tu. Na wamefanya hivyo.
Sijui which is which hapa, it okay russia ku attack deep into ukraine, but its not okay for ukraine kufanya the same
Yote yanawezekana.Sasa mkuu unafikiria kabisa kuwa Ukraine akiishambulia Russia ...then Russia itaishambulia miji ya Marekani?
Hapo Kursk kuna silaha na vyombo vingine kama magari ya Marekani yanatumika au utambui kuwa Kursk ni sehemu ndani ya Russia?
Penda sana kuongea vitu logic ondoa ushabiki.
Wakijaribu tu. Kiev inakuwa kama Allepo au gaza... kiev maisha yanaendelea kama kawaida.Serikali za Marekani, Ufaransa na Uingeleza zimeruhusu silaha zake zitumike ndani ya Urusi, hapo mwanzo zilizuiwa kutumika ila baada ya mashambulizi ya jana kutoka Urusi wameona wairuhusu Ukraine ifanye ionacho ni sawa
Hii vita Russia anapigana kistaarabu sana,kama angeamua apigane in savage way kama Israel basi leo hii lisingesalia jiwe juu ya jiwe pale Kiev.Wakijaribu tu. Kiev inakuwa kama Allepo au gaza... kiev maisha yanaendelea kama kawaida.
Taifa la akina mwamposaNa wacha na Urusi nae ampe Nuclear Iran ili walifute taifa la manabii na wachungaji
Kunatatizo gani Russia kuipiga miji ya Marekani, pale kusk ukusemako ulikuwa uamuzi wa waukraine. Kwani Baiden wewe unajuwa ni rais wa waukraine? kwanini ahimize kuharibu miji huku akijuwa nchi yake haihusiki na vita, anayekulekeza moto lazima naye umuelekezee.Sasa mkuu unafikiria kabisa kuwa Ukraine akiishambulia Russia ...then Russia itaishambulia miji ya Marekani?
Hapo Kursk kuna silaha na vyombo vingine kama magari ya Marekani yanatumika au utambui kuwa Kursk ni sehemu ndani ya Russia?
Penda sana kuongea vitu logic ondoa ushabiki.
Kikubwa wakitumia long range, na mrusi nae atazitumia dhidi yao marekaniKunatatizo gani Russia kuipiga miji ya Marekani, pale kusk ukusemako ulikuwa uamuzi wa waukraine. Kwani Baiden wewe unajuwa ni rais wa waukraine? kwanini ahimize kuharibu miji huku akijuwa nchi yake haihusiki na vita, anayekulekeza moto lazima naye umuelekezee.
Si kweli Russia alitamani Sana kuingia Kiev tangu siku ya kwanzaHii vita Russia anapigana kistaarabu sana,kama angeamua apigane in savage way kama Israel basi leo hii lisingesalia jiwe juu ya jiwe pale Kiev.
Hehehe pole yako.Si kweli Russia alitamani Sana kuingia Kiev tangu siku ya kwanza
Ila kilichompata hatorudia Tena kuitamani Kiev ya Ukraine
Akaishia kukamata mamiji ya mipakani huko mwa Ukraine
umewahi walau kusoma makubaliano yaliyofikiwa uturuki april 2022 kuhusu hii vita?Si kweli Russia alitamani Sana kuingia Kiev tangu siku ya kwanza
Ila kilichompata hatorudia Tena kuitamani Kiev ya Ukraine
Akaishia kukamata mamiji ya mipakani huko mwa Ukraine
Ajabu ni kwamba hiyo full force ameshindwa kuitumia kuteka Donbass,achilia mbali Kyiv ππππHehehe pole yako.
Russia akiamua kuingia Kiev hashindwi.
Japo ni kweli kuwa alifeli jaribio la kuikamata Kiev ila haimaanishi kuwa hana uwezo wa kuikamata.
Russia akiamua kutumia Full millitary force hiyo Kiev inasalia mikononi mwake.
Zingatia neno Full force.
Donbass zaidi ya 40% imemegwa.Ajabu ni kwamba hiyo full force ameshindwa kuitumia kuteka Donbass,achilia mbali Kyiv ππππ
Hapo mkuu umenena, Russia alitowa majeshi yake akizingatia makubaliano, ghafula waziri mkuu wa Uingereza akamshauli Zele ayatupilie mbali makubaliano, hicho ndicho kilitokea.umewahi walau kusoma makubaliano yaliyofikiwa uturuki april 2022 kuhusu hii vita?
kayatafute kisha urudi tena!
Biden anatafuta pakufiaSerikali za Marekani, Ufaransa na Uingeleza zimeruhusu silaha zake zitumike ndani ya Urusi, hapo mwanzo zilizuiwa kutumika ila baada ya mashambulizi ya jana kutoka Urusi wameona wairuhusu Ukraine ifanye ionacho ni
Atumie full force mara ngapi wewe firauni?, Mtu mpaka kaenda kuomba msaada wa wanajeshi korea ya kaskazini. Uwe unabakisha akili hata ya kufikiria vitu vidogo bana!!Hehehe pole yako.
Russia akiamua kuingia Kiev hashindwi.
Japo ni kweli kuwa alifeli jaribio la kuikamata Kiev ila haimaanishi kuwa hana uwezo wa kuikamata.
Russia akiamua kutumia Full millitary force hiyo Kiev inasalia mikononi mwake.
Zingatia neno Full force.
Jadili kiustaarabu kenge wa nchi kavu wewe.Atumie full force mara ngapi wewe firauni?, Mtu mpaka kaenda kuomba msaada wa wanajeshi korea ya kaskazini. Uwe unabakisha akili hata ya kufikiria vitu vidogo bana!!